Beroya Gospel Library

Beroya Gospel Library

Share

Jifunze Neno la Mungu

04/01/2022

Katika Mwanzo 18:14 imeandikwa .."Kuna neno gani lililo gumu la kumushinda Mungu.."? Na nibaada ya Sara kuonyesha kuwa hawezi tena kupata mtoto ikiwa ilishindikana katika umri ulitosha kupata watoto.Ni kweli kwa Hali ya kawaida ya wanafamu ilikuwa ndio basi .Lakini alisahau kuwa alikuwa amemwambia kuwa atapata mtoto ,ndiye alikuwa amemwumbia Hali ya kuzaa au kutokuzaa .HIVYO hakupaswa awe na mashaka ,ndivyo ilivyo hata Sasa watu wanapokuwa na changamoto Fulani,au majaribu wanasahau uweza wa Mungu na kuonyesha kuwa huyu Mungu aliyewaumba hawezi kuwatoa KATIKA majanga hayo .Ndio maana Mungu alimwambia Ibrahimu NI neno gani (tatizo)lililogumu la kumushinda BWANA? Nikutie moyo kuwa Mungu anaweza Hilo tatizo lako hata K**a NI gumu (kubwa)kiasi gani.K**a imani imeumbika ndani yako.Kwa jina la Yesu limetatuliwa na pokea mjibu

09/10/2021

MAMBO SABA AMBAYO NI ASILI YAKO
1.USHINDI
Umeumbwa ili uwe mshindi. Ushindi NI ASILI YAKO. Usikubali kushindwa na vikwazo au changamoto.
2.UUMBAJI
Umeumbwa kuumba vitu mbalimbali duniani ili kuifanya dunia kuwa sehemu Bora kwa wanadamu. Kuna nguvu ya uvumbuzi na ubunifu ndani yako.
3.UJASIRI
umeumbwa kuwa jasiri siyo mwoga. Hofu ndiyo adui wako wa mafanikio. Ndani yako umefichwa ukasiri mkubwa. Ukasiri huo utakusaidia kufanya makubwa.
4. IBADA
Umeumbwa kuwa mtu wa ibada. Mwabudu Mungu katika Roho na kwelu.
5. UTAWALA
Umeumbwa kuwa mtawala wa vitu SIYO kutawaliwa na vitu. Wewe SIYO mtumwa. Kila kitu kilicho chema NI kwaajili yako.
6.KUONGEZEKA
Umeumbwa kuongezeka. Umeumbwa kuongezeka kiroho, kimwili, kiuchumi na kijamii. Usikubali kuwa hapo ulipo kila siku.
7. MABADILIKO
Unaweza kuwa yeyote unayetaka K**a utaamua. Kuna nguvu ya maamuzi ndani yako. Amua kuwa kilicho Bora zaidi na utakuwa vile ujionavyo ndani yako. Usikubali kuwa yule yule.
UBARIKIWE SANA NA MUNGU AMBAYE ALIAMUA KUYAWEKA YOTE HAYO NDANI YAKO. WEWE NI MTU MKUU SIKU MOJA DUNIA ITAKUTAMBUA. DUNIA UNAWEZA ISIIIJUE THAMANI YAKO LAKINI MUNGU NA WEWE MNAIJUA THAMANI YAKO. DUNIA BADO INAKUSUBIRI. HUU NI WAKATI WAKO, USIKUBALI KUWA HIVYO ULIVYO MAANA WEWE NI WA TOFAUTI SANA DUNIANI. HAKUNA ANAYEFANANA NA WEWE AKILI NA KUSUDI LA UWEPO WAKO.

01/10/2021

Kolosai 3;1-4 .Inatuagiza tutafute yaliyo juu Kristo aliko.Inasikitisha simu hizi wakristo hutafuta ya hapa chini ,uzinzi ,uongo ,masengenyo majivuno ,tamaa mbaya ,ulevi,uasherati,matukano na kutafuta pesa kwa njia za udanganyifu .Lakini tukitazama juu aliko Kristo ,ambako humo juu kunapatikana.Hekima ambako NI Safi ya amani,ya upole iko tayari kusikuliza mane no ya watu imejaa rehema na matunda mema ,Haina fitina ,Haina unafiki na tunda la haki hupandwa katika amani na wale wafanyao amani .Hayo ndiyo tupaswayo kuyaangalia juu aliko Kristo na sio kuangali Mambo machafu na maovu

01/10/2021

Katika Kutoka 14:10-14 wana wa Israeli walipoinua macho yao na kumuona Farao na jeshi lake lote na mbele yao kuona bahari ya Shamu walijua ndio mwisho wao wa Marsha yao.Hakujua kuwa Mungu anaweza kufanya njia pasipo kuwa na njia.Alifanya njia kupitia Musa aliyetamka kuwa Hawa Wamisri mnaowaona Sasa(ambao NI tishio kwenu) hamtawaona milele.Bwana atawapigania .Nakutia moyo ambaye mbele na nyuma yako kujaa vitisho ,amini kuwa hautaviona Tena milele kwa jina laYesu Kristo .K**a utaamini hili neno hakika linatimia.

08/11/2020

Leo tulikuwa na kichwa Cha somo kisemacho Mungu anaona .Kuna watu wanafanya Mambo wakifikiri Mungu hawaoni,kumbe anawaona .Kuna watu wanafikiri Mungu yuko mbali kulingana na majaribu makubwa wanayopitia Yer 23:23-24 .Kunawengine wako K**a mfalme wa Shamu na watu wake ,walipopigwa na jeshi la Israeli milimani ,wakasema MUNGU wao NI was milimani ndio maana wamepigwa.Hawakunua kuwa MUNGU yuko mahali pote na anaona .Wakapeana ushauri kwamba wakawapigie katika Maeneo ya tambalare hakujua kuwa kule nako na anawaona ,nako huko wakapigwa 1Fal 20:13-18 .Nakutangazia wewe ambaye maadui wanapanga Vita juyako wakifikiri MUNGU hawaoni ,anawaona na anenda kuwashughulikia kwa jina la Yesu

24/10/2020

BADILIKA KIFIKRA
Siku zote utakuwa hivyo ulivyo kwa sababu yakufikiri kwako. Kufikiri kwako kutaamua Nini utamke na nini ufanye. Pia fahamu kuwa maandiko yanasema mtu atakula matunda ya kinywa chake. Maneno yamtu yanaweza kuishi hata miaka 6000 pia kumbuka huwezi kunena mpaka wazo limepita ndani yako. Ukirejelea maandiko tunajifunza kwa habari za Daudi, tunajifunza kuwa siku Mona baba yake alimwagiza aende kwa Kaka zake akawajulie hali na kuwapelekea chakula. Alipofika alikuta watu wote wamejificha kwa kumuogopa Goliati akaomba apewe kibali Cha kupambana naye. Akapelekwa kwa mfalme Sauli ili ajieleze, maandiko yanasema Daudi alianza kukatishwa tamaa na mfalme lakini hakukata tamaa kwa Nini ? NI kuwa alifikiri K**a Mungu anavyofikiri hakuangalia mazingira yanasemaje na hatimaye akamshinda Goliati. Siku zote Mungu hajawahi kufikiri kuwa wewe utashindwa ila wewe ndiyo umefikiri kushindwa. Usione kushindwa hata siku Moja , ukiona umasikini katika fikra zako vyovyote anavyofikiri ndivyo unavyokuwa BADILIKA KIFIKRA FIKIRI K**A MUNGU ANAVYOFIKIRI USIONE KUSHINDWA, WAKATI WENGINE WANAONA UKUTA WEWE ONA NJIA NA NJIA ITATOKEA. MUNGU HAWEZI KIFANYA ZAIDI YA VILE UNAVYOFIKIRI KWA SABABU AKIFANYA HIVYO UTASHINDWA KUISHI MAFANIKIO. BADILIKA KIFIKRA!! BADILIKA KIFIKRA!!BADILIKA KIFIKRA!!!!!!

20/07/2020

Kwa Mungu inawezekana:mti mkavu kutoa matunda na tumbo mfu kupatikana mtoto,ndivyo ilivyotokea kwa Sara :Mwa 18:9-15 na Rum 4:18-21 na Ebr 11:11-12 Jambo la msingi ni kutambua uweza wa Mungu pia na kuamini

20/06/2020

IMANI NI CHANZO
Kwa mujibu wa imani yako kuwa kwako." --Matt. 9:29 Imani ni matarajio, "Kwa mujibu wa imani yenu, iwe kwako." Tunaweza kusema, kwa mujibu wa matarajio yako yangefanyika kwako; Kwa hiyo, unatarajia nini? Tunasikia watu wanasema: "Tunatarajia mbaya zaidi kutokea," au "mbaya zaidi bado inakuja." Wao ni kwa makusudi kuwakaribisha mbaya zaidi kuja. Tunasikia wengine wanasema: "Ninatarajia mabadiliko kwa bora." Wanakaribisha hali bora katika maisha yao. Badilisha matarajio yako na unabadilisha hali yako. Unawezaje kubadilisha matarajio yako, wakati umeunda tabia ya kutarajia kupoteza, ukosefu au kushindwa? Anza kutenda k**a unavyotarajia mafanikio, furaha na wingi; Jitayarishe kwa manufaa yako. Kufanya kitu kukuonyesha unatarajia kuja. Imani ya kazi peke yake, itavutia subconscious. Ikiwa umesema neno kwa nyumba, jitayarishe mara moja, k**a kwamba hakuwa na muda wa kupoteza. Kukusanya mapambo madogo, nguo za meza, nk, nk! Nilijua mwanamke ambaye alifanya swing giant katika imani, kwa kununua mwenyekiti mkubwa wa mkono; Mwenyekiti alimaanisha biashara, alinunua kiti kikubwa na kizuri, kwa kuwa alikuwa akiandaa kwa mtu mzuri. Alikuja. Mtu atasema, "Tuseme huna pesa kununua mapambo au mwenyekiti?" Kisha angalia katika madirisha ya duka na uunganishe nao katika mawazo. Pata vibration yao: Wakati mwingine kusikia watu wanasema; "Siingii katika maduka kwa sababu siwezi kununua chochote." Hiyo ndiyo sababu tu unapaswa kuingia kwenye maduka. Anza kufanya marafiki na mambo unayotaka au yanahitaji. Najua mwanamke ambaye alitaka pete. Alikwenda kwa ujasiri kwenye idara ya pete na akajaribu pete. Mlango wa siri wa kufanikiwa - na Florence Scovel Shinn 16 ilimpa kutambua k**a hiyo, ambayo si muda mrefu, rafiki alimfanya zawadi ya pete. "Unachanganya na kile unachokiona." Endelea kutambua mambo mazuri, na unafanya kuwasiliana asiyeonekana. Hivi karibuni au baadaye mambo haya yanapatikana katika maisha yako, isipokuwa unasema, "Maskini mimi, mzuri sana kuwa wa kweli." "

20/06/2020

JIONE K**A MUNGU ANAVYOSEMA JUU YAKO
"Je, hamjui? Nitafanya njia ya jangwani, na mito katika jangwa." --Saya 43:19 Katika sura hii ya 43 ya Isaya, ni taarifa nyingi za ajabu, kuonyesha nguvu zisizoweza kushindwa za akili kuu, kuja kwa uokoaji wa mwanadamu wakati wa shida. Haijalishi jinsi hali inavyoonekana, akili isiyo na maana inajua njia ya nje. Kufanya kazi na nguvu ya Mungu, mtu huwa na hali mbaya na kabisa. Hebu tupate kutambua nguvu hii ya siri ambayo tunaweza kuiita wakati wowote. Fanya kuwasiliana na akili isiyo na mwisho, (Mungu ndani) na kuonekana kwa uovu huenea, kwa maana inatoka kwa "mawazo yasiyo ya maana" ya mtu Katika swali langu na jibu la darasa ningeulizwa, "Unafanyaje kuwasiliana na nguvu hii?" Kwa kujibu, "kwa neno lako." "Kwa neno lako unahesabiwa haki." Cennetion akamwambia Yesu Kristo, "Sema neno bwana na mtumishi wangu ataponywa." "Yeyote anayeita kwa jina la Bwana ataokolewa." Angalia neno, "wito"; Unamwita Bwana au sheria, unapofanya uthibitisho wa kweli. K**a mimi daima kusema, kuchukua taarifa ambayo "clicks," hiyo ina maana, inakupa hisia ya usalama. Watu ni watumwa na mawazo ya ukosefu; Ukosefu wa upendo, ukosefu wa fedha, ukosefu wa ushirika, ukosefu wa afya, na kadhalika. Wao ni watumwa na mawazo ya kuingiliwa na kutokuwepo. Wao wamelala katika ndoto ya Adamu: Adamu (mtu wa kawaida) alikula "Maya mti wa udanganyifu" na kuona nguvu mbili, nzuri na mabaya. Ujumbe wa Kristo ulikuwa kuwaamsha watu hadi ukweli wa nguvu moja, Mungu. "Amkeni wewe amelala." Ikiwa huna kitu chochote kizuri, bado umelala kwa mema yako. Je, unamkaje kutoka kwa ndoto ya Adamu ya kupinga, baada ya kulala kwa sauti kubwa katika mashindano ya miaka? Yesu Kristo alisema, "Wakati wawili wenu wanakubaliana, utafanyika." Ni sheria ya makubaliano. Mlango wa siri wa kufanikiwa - na Florence Scovel Shinn 56 Ni vigumu kuona wazi, yako nzuri, kwa ajili yako mwenyewe: ndio ambapo mponyaji, daktari au rafiki ni muhimu. Wanaume wenye mafanikio zaidi wanasema

17/06/2020

KUWA MSHINDI (BE A WINNER)
Kuwa mshindi , Mungu alikuumba wewe na kukufanya uwe mshindi.Mumgu hajawahi kuumba mtu was kushindwa.Kwa sababu Mungu ni mshindi hivyo na wewe unapaswa kuwa mshindi.Tamani kuwa mshindi.
Wewe umekuwa mtu was kushindwa kwa sababu umatamani kushindwa,umekata tamaa,umeogopa na ukajiona kuwa huwezi lakini nataka nikwambie kuwa ndani yako Kuna asili ya ushindi na umezaliwa ushinde.Haijalishi ulizaliwa k**a ajali ya kibinadamu,lakini wewe sio ajali ya Mungu,Mungu alijua utakuwepo,haupo kwa bahati mbaya,upo kwa kusudi maalumu,wewe ni mshindi kuwa mshindi!
Kuwa mshindi ni kuvuka viunzi na vizuizi vyote,hakuna mshindi aliyepita katika tambarare,lakini alipita katika milima na mabonde ila ndani yake aliona kuwa ni tambarare na akashinda.Hakuna mshindi anayekaa na kusubiri ushindi umjie bali anapigana
Hakuna mshindi anayeacha Vita katikati,bali hupambana mpaka mwisho na aone matokeo ya ushindi.
Mtu mshindi hakubali kupoteza muda, anatafuta Kila siku mbinu,ujuzi na maarifa yatakayomsaidia kushinda vita yake
Mshindi hakubali kukatishwa tamaa na maneno au vitendo vya wapinzani lakini hutazama maono yake,hupanga malengo na mikakati ya ushindi na kuitekeleza
Mshindi anapita katika hali zote kwa ushindi, anajizoeza na kusimama imara katika kusudi hadi ashinde.WEWE NI MSHINDI, KUWA MSHINDI!!!!!!!!!

22/05/2020

Usimkatishe tamaa mtu ambaye kimuendelezo anajitahidi kuendelea haijalishi ni kidogokidogo namna gani

22/05/2020

Hi unakaribishwa katika ukurasa huu toa maoni na pata elimu Bora kabisa ya Neno La Mungu Na Uhamasishaji

Want your business to be the top-listed Government Service in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Nehemiahlulila@gmail. Com
Dodoma