Kazi nzuri
Ardhi Dodoma
Huu ni ukurasa rasmi wa Ofisi ya Kamishna wa Ardhi mkoa wa Dodoma.
23/02/2022
KIKAO CHA SEKTA YA ARDHI KUFUNGWA NA MHE. RIDHIWANI KIKWETE
23/02/2022
KIKAO CHA SEKTA YA ARDHI ARUSHA
23/02/2022
Kauli ya Waziri wa Ardhi kuelekea siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2022.
Usikose kutaza Channel Ten leo saa 3:30 usiku
07/02/2022
WAKAZI DODOMA WAJITOKEZA KWA WINGI KATIKA KAMPENI YA ELIMU YA ARDHI MTAA KWA MTAA
OFISI ya Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Dodoma kwa kushirikiana na Halmashauri ya Jiji la Dodoma wanafanya kampeni ya kutoa elimu kwa kupita katika mitaa ya jiji hilo kuhusu umuhimu wa kumiliki wa ardhi kisheria, ujenzi kwa kufuata taratibu za mipango miji, malipo ya kodi ya pango la ardhi na fursa mbalimbali zinazopatikana kwenye sekta ya ardhi ikiwemo upatikanaji wa viwanja vya makazi na uwekezaji wa viwanda katika jiji la Dodoma.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Website
Address
Dodoma
