16/09/2022
Idd Amin akiwapigisha magoti wazungu,Je kweli alikuwa dikteta k**a tulivyolishwa sumu na historia yetu ya Tanzania tunayoisoma darasani?
Mimi nilivyosoma historia vizuri kuhusu Idd Amin ni kuwa mtu aliyependa waganda wamiliki ardhi yao wenyewe na si wa wazungu, alikuwa hapendi wazungu wawaonee waafrika n.k
Historia yetu muda mwingine inaongezea uongo, Tanzania tunamchukia Idd amin kisa tu kuivamia Kagera lakini hayo yalikuwa mapungufu yake ,lakini mengi alifanya mazuri ndio maana Uganda wanamkumbuka sana , japokuwa viongozi wao vibaraka wa wazungu hawataki wasikilize mazuri yake.

14/08/2022