EGA_tanzania

EGA_tanzania

Share

e-GA inakusudia kutekeleza afua mbalimbali ili kusaidia taasisi za umma kutoa huduma mtandao kwa ufanisi. ISO 9001: 2015
CERTIFIED

13/05/2026

Photos from EGA_tanzania's post 07/05/2026

Leo (Mei 07,2026) siku ya Tatu ya Mkutano Mkuu wa Pili Jumuishi wa Mwaka wa Jumuiya za Wataalamu wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, katika Utumishi wa Umma Tanzania, wananchi mbalimbali wametembelea banda la e-GA na kupatiwa msaada wa kiufundi pamoja na Elimu ya Matumizi ya TEHAMA

#

06/05/2026

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb),alivyowasili kwenye banda la e-GA na kupatiwa maelezo maelezo kuhusu Mifumo mbalimbali ya TEHAMA iliyotengenezwa na e-GA na namna inavyofanya kazi na kurahisisha utoaji wa huduma kwa umma, wakati a

kwenye Mkutano Mkuu wa Pili Jumuishi wa Mwaka wa Jumuiya za Wataalamu wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, katika Utumishi wa Umma Tanzania, unaoendelea jijini Arusha hii leo (Mei 06,2026)

#

Photos from EGA_tanzania's post 06/05/2026

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb), akisikiliza maelezo kuhusu Mifumo mbalimbali ya TEHAMA iliyotengenezwa na e-GA na namna inavyofanya kazi na kurahisisha utoaji wa huduma kwa umma, wakati alipotembelea banda la e-GA, kwenye Mkutano Mkuu wa Pili Jumuishi wa Mwaka wa Jumuiya za Wataalamu wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, katika Utumishi wa Umma Tanzania, unaoendelea jijini Arusha.

#

06/05/2026

#

Photos from EGA_tanzania's post 05/05/2026

Wananchi mbalimbali wamejitokeza katika banda la Maonesho la Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), kwa ajili ya kupata elimu kuhusu Serikali Mtandao kwenye Mkutano Mkuu wa Pili Jumuishi wa Mwaka wa Jumuiya za Wataalamu wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma Tanzania, unaoendelea jijini Arusha kuanzia leo Mei 05 hadi 08, 2026.

#

Photos from EGA_tanzania's post 01/05/2026

Baadhi ya Watumishi wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Makao Makuu Dodoma, leo tarehe 01/05/2026 wameshiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) yaliyafanyika katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.

#

Want your business to be the top-listed Government Service in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address

Mtumba-Mtaa Wa Mtandao
Dodoma

Opening Hours

Monday 07:30 - 15:30
Tuesday 07:30 - 15:30
Wednesday 07:30 - 15:30
Thursday 07:30 - 15:30
Friday 07:30 - 15:30