06/11/2024
Picha ya pamoja kati ya TMDA na wadau, wakati wa kikao cha kujadili marekebisho ya kanuni na kupanga dawa katika makundi kilichofanyika tarehe 05 Nov, 2024 Dar es Salaam
Regulates quality, safety and effectiveness of medicines,medical devices and to***co products.
06/11/2024
Picha ya pamoja kati ya TMDA na wadau, wakati wa kikao cha kujadili marekebisho ya kanuni na kupanga dawa katika makundi kilichofanyika tarehe 05 Nov, 2024 Dar es Salaam
02/11/2024
Siku zote TMDA huhakikisha uwepo wa miundominu bora na watumishi wenye weledi ili kukidhi mahitaji ya wateja wake.
02/11/2024
Jukumu la kulinda Afya ya Jamii ni letu sote: Dawa zikitumika kwa usahihi huokoa maisha
31/10/2024
TMDA hujiridhisha na ubora, usalama na ufanisi wa bidhaa za dawa na vifaa tiba kabla ya kuruhusiwa kwenye soko la Tanzania,ili kulinda afya ya jamii.
31/10/2024
Miundo mbinu bora na ya kisasa katika kuhakiki ubora,usalama na ufanisi wa dawa.
31/10/2024
31/10/2024
TMDA hutoa msaada wa kiufundi ili kukidhi vigezo vya kanuni bora za utengenezaji bidhaa (GMP) katika viwanda vya Dawa, Vifaa tiba na Vitendanishi hapa nchini
25/10/2024
Ili kutoa taarifa ya maudhi yatokanayo na bidhaa za dawa piga *152*00 # na fuata maelekezo
23/10/2024
Globafund yafurahishwa na utendaji kazi wa maabara ya TMDA -Mwanza.
17/10/2024
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Dkt. Jesca Lebba akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Uchuguzi wa Maabara wa TMDA Levina Rutta juu ya utendaji wa Maabara hamishika wakati wa maonesho ya Wiki ya Vijana katika Viwanja vya Furahisha vilivyoko Manispaa ya Ilemela Mkoa Mwanza tarehe 10 Oktoba, 2024.
17/10/2024
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Dkt. Jesca Lebba (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa TMDA wakati wa maonesho ya Wiki ya Vijana katika Viwanja vya Furahisha vilivyoko Manispaa ya Ilemela Mkoa Mwanza.
17/10/2024
Watumishi wa TMDA wakitoa huduma kwa wateja waliotembelea Banda la Mamlaka katika Maonesho ya Wiki ya Vijana katika Viwanja vya Furahisha vilivyoko Manispaa ya Ilemela Mkoa wa Mwanza tarehe 10 Oktoba, 2024.
| Monday | 07:30 - 17:00 |
| Tuesday | 07:30 - 17:00 |
| Wednesday | 07:30 - 17:00 |
| Thursday | 07:30 - 17:00 |
| Friday | 07:30 - 17:00 |
| Saturday | 09:30 - 13:00 |