09/01/2020
A monkey enjoying the quietness at the Capitol Zoo & Nature Reserve.
Capitol Zoo & Nature Reserve is a wildlife farm located in Chigongwe village in the Capital City of Tanzania, Dodoma.
09/01/2020
A monkey enjoying the quietness at the Capitol Zoo & Nature Reserve.
Tunakupongeza sana Mh. Rais wetu Dr. J.P.Magufuli kwa kutupa moyo watanzania kuanzisha bustani na mashamba ya kufuga wanyama pori. Hii in fursa kubwa sana kwa watanzania, na si kila nchi imejaliwa fursa hii na rasilimali hii. Kuna nchi fursa hii kuwa nayo ni mpaka waagize wanyama toka nchi k**a yetu. Na kiasi kikubwa, wanyama wetu wamekuwa wakiibwa na baadhi ya watu kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi na watendaji wasiokuwa wazalendo, ili kwenda kuanzisha bustani hizi huko Ulaya, Asia na Amerika, bila sisi wenyewe kufaidika na rasilimali hii. Fursa hii itatoa ajira na kipato kwa watanzania wengi sana. Sisi Capitol Zoo & Nature Reserve tuliopo hapa Makao Makuu ya nchi, Dodoma tumelipokea kwa furaha tamko lako na kuliunga mkono. Tayari tuko mbioni kufungua wildlife ranch mapema June 2020.
30/12/2019
Ndani ya Capitol Zoo Dodoma. Kivuli bariiidii. AF unang'ata bush bites. Aisee beer ya huku tamu balaaa. Karibuniiiii
29/12/2019
Karibuni kwenye zoo yetu mfurahie what nature can offer to you. Come and enjoy your weekend with your family and friends. Just 10 minutes drive from the Dodoma City Center en-route to Nala.
29/12/2019
Welcome to Capitol Zoo here in Dodoma. Mfurahie wikiend na marafiki zenu. Come to enjoy what nature can offer to you. Just 10 minutes drive from the city center.
29/12/2019