Wizara ya Madini

Website

Wizara ya Madini Sekta ya Madini kwa Uchumi Imara na Maendeleo Endelevu

23/10/2026





repost from Irada style We are excited for RoadToMadiniNight2026
Stay tuned!!

 ,2026Imagine Tanzania and the DRC exchanging knowledge, sharing expertise and exploring investment opportunities to unl...
22/10/2026

,2026

Imagine Tanzania and the DRC exchanging knowledge, sharing expertise and exploring investment opportunities to unlock greater value from Africa’s mineral wealth. A shared vision and stronger collaboration can open new pathways for growth across the continent.

Be part of this exchange at TMIC 2026. Register at: conference.madini.go.tz Or call
+255 714 278 620.
---------------------------------------------


Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zina nafasi kubwa ya kuimarisha mahusiano ya kibiashara kupitia Sekta ya Madini, kupanua uwekezaji, kubadilishana utaalamu na kufungua masoko mapya.

Umejiandaaje kutumia TMIC 2026 kujenga uhusiani wa kibiashara, kutafuta washirika wa uwekezaji na kufungua milango ya masoko mapya?

Jisajili sasa kupitia: conference.madini.go.tz au piga simu +255 714 278 620.

 Mining is more than resources beneath the ground. It is about knowledge, innovation and ideas that drive investment, in...
22/10/2026



Mining is more than resources beneath the ground. It is about knowledge, innovation and ideas that drive investment, industrial growth and sustainable development.

Be part of the ideas shaping the future of mining at TMIC 2026.

To participate, register at conference.madini.go.tz or call
+255 714 278 620



----------------------------------------
Sekta ya Madini ni zaidi ya rasilimali zilizopo ardhini. Ni maarifa, ubunifu na mawazo yanayochochea uwekezaji, ukuaji wa viwanda na maendeleo endelevu.

Shiriki katika mawazo na mijadala inayotoa mwelekeo mpya kwa maendeleo ya Sekta ya Madini kupitia TMIC 2026.

Jisajili sasa kupitia conference.madini.go.tz Au piga simu namba
+255 714 278 620

repost from Perseus Mining 🤝 In FY26, Perseus contributed US$ 5.17 million to communities across Côte d’Ivoire, Ghana an...
22/10/2026

repost from Perseus Mining 🤝 In FY26, Perseus contributed US$ 5.17 million to communities across Côte d’Ivoire, Ghana and Tanzania, supporting initiatives spanning education, healthcare, infrastructure, skills development and local livelihoods.

Across our operations and projects, we work closely with our host communities to identify priorities and create opportunities beyond mining.

At Edikan in Ghana, 175 scholarships were awarded to tertiary students from catchment communities, while a new nursery and kindergarten block at Fobinso has helped early childhood enrolment roughly triple.

In Côte d’Ivoire, 1,000 local young people were trained around Yaouré in areas including farming, driving, machinery, electrical and machine maintenance, while 50 young people took part in practical and technical skills programmes at Sissingué.

In Tanzania, community infrastructure delivered at Nyanzaga included the Sotta Dispensary and primary schools in Sotta East and West, helping maintain access to healthcare and education.

These initiatives reflect our commitment to delivering meaningful, lasting benefits and strengthening the local economies in which we operate.

Read more about our community contributions in our 2026 Sustainable Development Report.

GHANA NA TANZANIA KUSHIRIKIANA KATIKA KUWAENDELEZA WACHIMBAJI WADOGO▪️Waziri Mavunde na  Waziri wa Ardhi na Maliasili wa...
22/10/2026

GHANA NA TANZANIA KUSHIRIKIANA KATIKA KUWAENDELEZA WACHIMBAJI WADOGO

▪️Waziri Mavunde na Waziri wa Ardhi na Maliasili wa Ghana, wajadiliana ushirikiano wa kimkakati katika kuwaendeleza wachimbaji wadogo

▪️Uongezaji thamani madini Afrika yaendelea kuwa nguzo kuu za kukuza uchumi wa nchi mbili

▪️Atoa wito kwa Afrika kuunganisha nguvu katika uongezaji thamani wa madini, utafiti wa kijiolojia na uwezeshaji wa wachimbaji na wajasiriamali wazawa.

▪️Waziri Mavunde asisitiza Rasilimali Madini kuwa msingi wa Viwanda, Ajira na Ustawi wa Afrika

▪️Ushirikiano ndio Silaha ya Afrika kunufaika na Rasilimali za Madini

📍Accra, Ghana

Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, ametoa wito kwa Tanzania na Ghana kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika kuwaendeleza wachimbaji wadogo kushiriki kikamilifu uchumi wa madini na pia katika usimamizi wa rasilimali za madini, akisisitiza kuwa wakati umefika kwa Afrika kuacha kuwa chanzo cha malighafi kwa viwanda vya nje na badala yake kutumia utajiri wake wa madini kujenga viwanda ndani ya nchi, kuongeza ajira na kukuza uchumi wa wananchi wake.

Mhe. Mavunde ameyasema hayo Oktoba 21, 2026, wakati wa kikao cha pande mbili (bilateral meeting) kati yake na Waziri wa Ardhi na Maliasili wa Jamhuri ya Ghana, Mhe. Emmanuel Armah-Kofi Buah, uliofanyika jijini Accra, ambapo viongozi hao wamejadili fursa za kuimarisha ushirikiano katika usimamizi na maendeleo ya Sekta ya Madini kwa manufaa ya nchi hizo mbili.

Akizungumza katika kikao huo, Mhe. Mavunde amesema ni wakati muafaka sasa serikali hizi mbili zikawaangalia wachimbaji wadogo kwa jicho la uwezeshaji ule waendelee kushiriki na kuchangia kikamilifu maendeleo ya uchumi kupitia sekta ya madini.

Mavunde amesisitiza kuwa kwa muda mrefu nchi za Afrika zimekuwa zikifanya kazi kwa kujitenga katika sekta ya madini, huku rasilimali k**a dhahabu, shaba, grafiti, lithiamu na madini mkakati zikisafirishwa nje ya bara hili bila kunufaisha kikamilifu uchumi wa nchi zinazozalisha madini hayo.

Inaendelea kwenye comments..

 You never know what one conversation could lead to. At TMIC 2026, make room for new connections, meaningful conversatio...
21/10/2026



You never know what one conversation could lead to. At TMIC 2026, make room for new connections, meaningful conversations and partnerships that create lasting value.

Register at: conference.madini.go.tz

For more information, call: +255 714 278 620



------------------------------------------


Wakati mwingine, mazungumzo ya muda mfupi yanaweza kufungua milango ya ushirikiano na uwekezaji ambao hukuwahi kuufikiria.

TMIC 2026 ni nafasi ya kukutana na wadau wapya, kubadilishana uzoefu na kujenga mahusiano yanayoweza kuibua fursa mpya za uwekezaji.

Jisajili kupitia sasa kupitia: conference.madini.go.tz au kwa maelezo zaidi, piga simu: +255 714 278 620.

 Wakati mwingine, mazungumzo ya muda mfupi yanaweza kufungua milango ya ushirikiano na uwekezaji ambao hukuwahi kuufikir...
21/10/2026



Wakati mwingine, mazungumzo ya muda mfupi yanaweza kufungua milango ya ushirikiano na uwekezaji ambao hukuwahi kuufikiria.

TMIC 2026 ni nafasi ya kukutana na wadau wapya, kubadilishana uzoefu na kujenga mahusiano yanayoweza kuibua fursa mpya za uwekezaji.

Jisajili kupitia sasa kupitia: conference.madini.go.tz au kwa maelezo zaidi, piga simu: +255 714 278 620



-------------------------------------------



You never know what one conversation could lead to. At TMIC 2026, make room for new connections, meaningful conversations and partnerships that create lasting value.

Register at: conference.madini.go.tz

For more information, call: +255 714 278 620

# InvestInTanzania

repost from Osman Abdulsattar Tharia ZIARA YA KIKAZI DOHA, QATAR 🇹🇿🤝🇶🇦Alhamdulillah, safari yetu ya kikazi nchini Doha, ...
21/10/2026

repost from Osman Abdulsattar Tharia ZIARA YA KIKAZI DOHA, QATAR 🇹🇿🤝🇶🇦

Alhamdulillah, safari yetu ya kikazi nchini Doha, Qatar, imekuwa na tija kubwa na mafanikio mazuri kwa sekta ya madini na biashara ya vito na bidhaa za thamani nchini Tanzania.

Ziara hii ilihusisha Mheshimiwa Naibu Waziri wa Madini pamoja na timu yake, Balozi wa Tanzania nchini Qatar na timu yake, Mwenyek
iti wa TAMIDA, pamoja na wafanyabiashara wa madini, sonara na vito.

Tulipata fursa ya kutembelea maonesho ya kimataifa ya Jewellery and Watches, kujifunza teknolojia mpya, kupata uzoefu wa biashara ya kimataifa na kujadiliana kuhusu fursa za uwekezaji, uongezaji thamani wa madini, utengenezaji wa vito na ujenzi wa ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Qatar.

Aidha, nilipata fursa ya kukutana na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Qatar, jambo linalofungua milango ya ushirikiano na fursa mpya kwa wafanyabiashara wetu.

K**a Mwenyekiti wa TAMIDA, ninaamini ziara hii ni hatua muhimu katika kukuza biashara ya madini, kuwawezesha wafanyabiashara wazawa, kuongeza thamani ya madini yetu ndani ya nchi na kuitangaza Tanzania katika soko la kimataifa la vito na bidhaa za thamani.

Tunawashukuru Mheshimiwa Naibu Waziri wa Madini, Balozi wetu nchini Qatar, timu zote zilizoshiriki pamoja na wafanyabiashara wote kwa ushirikiano wao.

Tanzania ina utajiri mkubwa wa madini; sasa ni wakati wa kuongeza thamani, kupanua masoko na kuhakikisha Watanzania wananufaika zaidi na rasilimali zetu.

Mungu ibariki Tanzania. 🇹🇿

WAZIRI MAVUNDE AZITAKA NCHI ZA AFRIKA KUACHA UTEGEMEZI WA MISAADA YA NJE KWA AJILI YA UTAFITI WA MADINI▪️Angoza mkutano ...
21/10/2026

WAZIRI MAVUNDE AZITAKA NCHI ZA AFRIKA KUACHA UTEGEMEZI WA MISAADA YA NJE KWA AJILI YA UTAFITI WA MADINI

▪️Angoza mkutano wa Mawaziri wa Afrika kujadili juu ya ugharamiaji utafiti na kuongeza thamani madini Afrika

▪️Atoa wito kwa nchi za Afrika kutumia mapato ya ndani kufadhili miradi ya madini, kuongeza thamani na kujenga uchumi wa viwanda

▪️Ataja utashi wa Rais Dkt. Samia wa kutenga Asilimia 10 ya Mapato ya Sekta ya Madini kufanya utafiti k**a mfano wa kupunguza utegemezi wa wahisani.

📍Accra, Ghana.

Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Peter Mavunde, ameongoza kikao cha Mawaziri wa Afrika kilichojadili namna ya kuimarisha ufadhili wa Sekta ya Madini kuanzia hatua za utafiti hadi uchakataji na usafishaji, akizitaka nchi za Afrika kuimarisha uwezo wa kutumia rasilimali na mapato ya ndani kuendeleza miradi ya kimkakati ya madini.

Kikao hicho cha ngazi ya mawaziri, kilichofanyika Oktoba 20, 2026, katika Mkutano wa Mining in Motion 2026, jijini Accra, Ghana kilijadili mada isemayo “Financing Africa’s Mineral Future- From Exploration to Refining”, inayolenga kuchunguza namna taasisi za fedha za Afrika na kimataifa zinavyoweza kuwezesha upatikanaji wa mitaji katika mnyororo mzima wa thamani wa madini.

Akiongoza majadiliano hayo, Mhe. Mavunde amesisitiza umuhimu wa nchi za Afrika kuanza kwa kutumia uwezo wake wa ndani kufadhili maendeleo ya Sekta ya Madini badala ya kutegemea zaidi ufadhili kutoka nje na kwamba utekelezaji wa mikakati ya ndani ya ufadhili unahitaji maamuzi madhubuti ya kisera, dhamira ya kisiasa na ushirikiano kati ya Serikali, taasisi za fedha na sekta binafsi.

Akitoa mfano wa Tanzania, Mhe. Mavunde ameeleza kuwa Serikali imeweka utaratibu wa kutenga asilimia 10 ya makusanyo yatokanayo na Sekta ya Madini kwa ajili ya utafiti wa kina wa kijiolojia, hatua inayolenga kuongeza wigo wa maeneo yanayofanyiwa utafiti na kubaini rasilimali zilizopo nchini na kubaishisha kuwa Tanzania bado ina fursa kubwa ya kuendeleza utafiti huo, ikizingatiwa kuwa takribani asilimia 16 tu ya eneo la nchi limefanyiwa utafiti wa kina

“Utashi wa kisiasa uliooneshwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, wa kutenga asili

20/10/2026

Madini kwa Kesho Njema

repost from Tanzania Youth in Mining Mining for Brighter Tomorrow MBT Wizara ya Madini- Ministry of Minerals,Tanzania Mtufit Underground | Gold Intelligence Tume ya Madini State Mining Corporation Ikulu Tanzania Anthony Mavunde

Address

Dodoma
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wizara ya Madini posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share