23/02/2026
K**a kweli wewe ni mhenga taja majina ya hii hela enzi hizo..!!!!
Kupitia ukurasa huu utajipatia kila aina ya gari hapa tanzania na nje ya nchi Kwa uaminifu mkubwa maalum kwa jimbo la chemba
23/02/2026
K**a kweli wewe ni mhenga taja majina ya hii hela enzi hizo..!!!!
14/12/2025
HAYA MWENDO WA NGIRI*
*MKIA JUUUU...!!!!
WAHI CHAP
TOYOTA RUMION
NAMBA DWM
BODY SAFI
GEAR BOX SAFI
A/C SAFI
ENGINE HAINA KIPENGELE CHOCHOTE GARI IMETUNZWA
SAFARI NI POPOTE
INATUPWA
BEI 15.5M
MAONGEZI KWENYE GARI
LOCATION DODOMA
Wahi gari ya hela hii. !!
Mlengaji k**a kijicho chongo usije na ofa zako za nyama choma kaa kuleee..!!!!!
Njoo na box 3 za wazee..!!
Nicheki Whatsapp 0784178279
Mambo mengine bhana ni kujitakia tu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
21/10/2025
21/10/2025
K**a hapo kwenye picha hujaiona SADDIQ LINE na ZAFANANA basi wewe sio mhenga
Enzi hizo ni Isuzu na Nissan diesel na scania kabla ya kuja hii michina yenu..!🤣🤣
Unakumbuka wapi mhenga??
Usisahau kunifollow
Land cruiser itaendelea kubwa gari bora zaidi hapa duniani
Weka page yako hapa tukufollow mapema sana
Follow me kwa uhakika kabisa wa kupata kila aina ya gari
Fahamu gari aina ya land cruiser zilipoanzia hadi kufikia sasa matoleo mengine yakiendelea kutoka
Hizi. chuma hapo miaka ya mbele zitakosa mpinzani
17/10/2025
Mali safi kabisaaaaa
BRAND NEW STOCK
TOYOTA HILUX
YEAR 2023
ENGINE 2.8GD
KM. 20,000 ✅
PRICE. 145M
Whatsapp
0784178279