27/05/2026
Kadri jiji linavyotulia kwa ajili ya Sala, familia, na tafakari, Eid hutukumbusha jambo moja muhimu:
Furaha ya kweli hupatikana nyumbani pamoja na watu tunaowapenda.
Katika Eid al-Kabir hii, tunaungana kuadhimisha upendo, kujitoa, shukrani, na umuhimu wa kuwa na sehemu salama ya kuiita nyumbani.
Kutoka kwetu Luck Executive Homes Dodoma, tunawatakia wewe na familia yako amani, furaha, baraka nyingi, na kumbukumbu nzuri zisizosahaulika.
Eid Mubarak π
25/05/2026
Hello itβs Monday πβ°
Be selfish with your Time,Energy and Space
19/05/2026
β¨ KARIBU LUCK EXECUTIVE HOMES β DODOMA β¨
Furahia maisha ya kifahari katika Fully Furnished Luxury 3-Bedroom Apartment,imejengwa kwa umahiri ili kukupa hadhi ya juu.
π‘ Apartment yetu ni ya :
β’ Vyumba 3 vya kulala (Inachukua hadi wageni 6)
β’ Samani za kisasa na ubora wa hali ya juu
β’ Ulinzi wa uhakika saa 24
β‘ Wi-Fi ya kasi bure
βοΈ Air Conditioning
πΊ HD TV na Netflix
π» Workspace kubwa kwa kazi au biashara
π³ Jiko lenye vifaa vya kisasa
π Outdoor whirlpool bath
π» Mini Bar
π Free transport / Free parking
π Ipo Dodoma β Mahali tulivu, salama na rahisi kufikika.
π Fanya Booking yako sasa kwa Bonyeza link iliyopo kwenye bio
Au piga simu: π 0760 999 996
Luck Executive Homes β Luxury. Comfort. Convenience. π―π₯
17/05/2026
βKumbuka kuwa mimi nimekuamuru uwe
imara na hodari. Usiogope wala usiadhaike kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niko pamoja nawe popote uendapo.β
[Yoshua 1:09]
Tunakutakia Jumapili NjemaππΎ
10/05/2026
HONOR THE WOMAN WHO MADE IT ALL POSSIBLE π₯π«‘
Happy Motherβs Day β€οΈ
04/05/2026
Itβs Monday again
Ignore negativity and be Awesome.π
27/04/2026
Discipline is the bridge between goals and accomplishment.β°
Happy new week
27/02/2026
Luck Executive Homes tunawatakia Ijumaa Kareem na Ramadhan Mubarak π Mwenyezi Mungu akubali swaumu na dua zenu.ππΎ
18/02/2026
βοΈ Jumatano ya Majivu
Katika unyenyekevu na toba, tuanze safari ya Kwaresma kwa imani na matumaini mapya.
, tunawatakia Wakristu wote tafakari njema na baraka tele katika Mfungo huu wa kwaresma.π