09/10/2019
ndc_tanzania
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ndc_tanzania, Public & Government Service, Dodoma.
09/10/2019
13/06/2019
Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) linatekeleza kwa vitendo sera ya Tanzania ya viwanda kwa kuzalisha matrekta aina ya Ursus yanayo wainua Watanzania kiuchumi na kushiriki kuchangia pato la taifa.
14/05/2019
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Faustine Ndugulile akiteta jambo na Meneja Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) Said Tunda pamoja na Meneja wa udhibiti wa ubora na viwango (Biotech Products Ltd) (Hawapo pichani) wakati wa kikao kazi
kwa ajili ya kuangamiza maambukizi ya ugonjwa ma Malaria pamona na Dengue, leo jijini Dodoma.
@ Dodoma, Tanzania
14/05/2019
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amefanya kikao kazi na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) pamoja na kiwanda kinachozalisha dawa za viuadudu vya mazalia ya mbu (Biotech Products Ltd) kwa ajili ya kupanga mkakati wa kuangamiza maambukizi ya ugonjwa wa Malaria pamona na Dengue, leo jijini Dodoma.
@ Dodoma, Tanzania
Wamiliki wa matrekta ya Ursus (NDC) wa Kanda ya Kaskasini wakiandamana mbele ya Mkuu wa wilaya ya Kiteto (Kibaya), Ndg Tumaini Magessa wakifuatiwa na baadhi ya matrekta yao. Wilaya ya Kiteto peke yake inamatrekta ya Ursus yapatayo 100
01/05/2019
Wamiliki wa matrekta ya Ursus (NDC) wa Kanda ya Kaskasini wakiandamana mbele ya Mkuu wa wilaya ya Kiteto (Kibaya), Ndg Tumaini Magessa wakifuatiwa na baadhi ya matrekta yao. Wilaya ya Kiteto peke yake inamatrekta ya Ursus yapatayo 100 @ Kiteto
01/05/2019
Mafundi wa matrekta ya Ursus yanayounganishwa na kusambazwa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Hassan Ndyaly na Rahabu Japheti wakikagua matrekta na kutoa ushauri kwa wamiliki na madereva wa matrekta wilayavya Kiteto. Wananchi wa wilaya hiyo wana matrekta aina ya Ursus yapatayo 100 ambayo yanasambazwa na NDC @ Kiteto
01/05/2019
Mafundi wa matrekta ya Ursus yanayounganishwa na kusambazwa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Hassan Ndyaly na Rahabu Japheti wakikagua matrekta na kutoa ushauri kwa wamiliki na madereva wa matrekta wilayavya Kiteto. Wananchi wa wilaya hiyo wana matrekta aina ya Ursus yapatayo 100 ambayo yanasambazwa na NDC
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Dodoma
