Pharmacy Council - Tanzania

Pharmacy Council - Tanzania

Share

We are a statutory body established under the Pharmacy Act, Cap 311 to regulate the pharmacy professionals practice and related matters.

27/05/2026

EID MUBARAK

25/05/2026

MFAMASIA VEDASTUS VENANCE, MFAMASIA WA HALMASHAURI YA KIBONDO

25/05/2026

MFAMASIA ISAYA MAPUNDA, MFAMASIA MKOA WA KIGOMA

25/05/2026

BARAZA LA FAMASI LINAKUKARIBISHA KWENYE WEBINAR MAALUM

Mada: Uzinduzi wa Mwongozo wa CPD kwa Wanataaluma wa kada ya Famasi

Wageni/Wazungumzaji:

🔹 Prof. Raphael Sangeda
🔹 Pharm. Boniface Magige
🔹 Prof. Eliangiringa Kaale

Siku: Jumanne, 26/05/2026
Muda: Saa 10:00 jioni hadi Saa 11:30 jioni
Faida: CPD Points 2 zitatolewa kwa washiriki

Link ya Usajili:
https://surl.li/rtjylg

Tafadhali Sambaza taarifa hii kwa wanataaluma wa kada ya famasi na wadau wa sekta ya afya.

Kwa mawasiliano zaidi:
📞 Mfamasia Arapha B. Nshau — +255 785 183 754

23/05/2026

BW. FRANK SANGA, KAIMU MGANGA MKUU WA WILAYA KAKONKO

22/05/2026

TAARIFA KWA UMMA

22/05/2026

DKT. DAMAS KAYERA, MGANGA MKUU MKOA WA KIGOMA

Photos from Pharmacy Council - Tanzania's post 22/05/2026

Baraza la Famasi limeendelea na zoezi la usimamizi shirikishi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo na Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko, Mkoa wa Kigoma.

Timu ya Baraza ilifika katika Ofisi ya Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kibondo na kujadili masuala mbalimbali yanayohusu taaluma ya famasi.

Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Dkt. Elizabeth Ntabaye, amesema ujio wa Baraza umesaidia kuwajengea uwezo wataalamu wa famasi utakaowawezesha kufanya kazi kwa weledi.

Naye Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kakonko, Frank Sanga, amelishukuru Baraza la Famasi kwa kuwajengea uwezo na kuahidi kuyafanyia kazi maelekezo waliyopewa na Baraza ili kulinda afya ya jamii.

22/05/2026

GEORGE E. MBILINYI, MKURUGENZI MTENDAJI - WILAYA YA BUHIGWE

22/05/2026

DKT. MBALUSAKA MADUHU, MGANGA MKUU - WILAYA YA BUHIGWE

Want your business to be the top-listed Government Service in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address

NHIF Building, 1st Floor, UDOM Road
Dodoma