●KUTOKA MAKTABA
Kipindi Icho Miaka Ya 2010 Chuma Zikiwa Aljazeera Ruaha Mbuyuni Chimba Dawa
Hood Za Mbeya Dar,Kuna Hood Ya Mbeya Arusha Ndio Inatoka Pale Mbele Ishawaleta Wotee Haooo
Kuna Sumry Apo Ya Kutoka Mbeya Mjini,Kuna Abood Apo Ya Kutoka Mbeya Mjini Pia Uelekeo Dar
Na Apo Wakizubaaa Tuuu Abood Na Hood Panyabuku Za Kutoka Tunduma Zinawafumaaa Hizo Zilikuwa Masaa Ya Kufaa Mtuuu 🔥🔥🔥 Apo Ilikuwa Inapona Hood Ya Mbeya Arusha Tuuu
Ilaa Zamani Ilikuwa Raha Saaaana Aiseee 😂😂
Sasa Hivi Gari Mbona Haziendi Aiseeee
Tanzania_National_Buses
Its all about buses �
23/04/2026
18/04/2026
●NAULI MPYA
Kiwango Cha Nauli Mpyaa Kutokana Na Umbali Husika Kuanzia Ruti Za Mabasi Makubwa,Mabasi Madogo Na Teksi Mtandao
18/04/2026
●WAKORAA WAITUU
Wahaya Ndio Waasisi Wa Polo Naona Polo Zimeingiaa Wataalamu Wa Hizi Kazi
Tuwahi Bukoba Na Hizi Polo Za Choo
Marcopolo Paradiso X1200
Scania F360
16/04/2026
●LAST BORN
Marcopolo Audace 1050
Kinu Ni Scania K310
10/04/2026
STUNTS ZA POLO😂😂🔥
Ni Kule Nyanda Za Juu Kusini Nadhani Yatajaaa Mapolo Tupuuu Apo Uyole Junction Ni Polo Tupuuuu Zinatapakaaaa Tuuu
Namuona Captain Njau Anapasha Misuli Moto Tuu 😂😂
Litolewe Nalo Muda Ule Wa Kashesheeee
08/04/2026
●SPRING INTO SUMMER
Isuzu On Duty 🔥🔥🔥🔥
03/04/2026
●NEW BABY
Aka Ndio Ka BABY Ka Katarama Katoto Katako Dekezwa Aswaaaa
Ka G7 Single Axles
Sijui Kataenda Wapi Sasa
19/03/2026
●ASIYEFAA KAFAAA😀😀😀😂
Ni Zhongtong Mega New Model ZK6132DA Nadhani Swax Zitawahusu Kwa Kweli Bila Shakaaaa
Mega La Maliwato Ilooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥
17/03/2026
●MALLESSAS
Ayaa Kutana Na Captain Kandamba Na Nduguye Dr Kaboro
Tuwahi Zetu Chunya Makongorosi
15/03/2026
●PF4 ON DUTY 🔥🔥
Jamani Hii EQR Ya Buti Mbona Imeingia Kimya Kimya Hivi Aiseee 😂😂😂😂
Tumeshangaaa Tuuu Chuma Ipo Kwenye Basement Uelekeo Ni Kusini Kama....Kawaida Yake Mbele Mbele Yaooo
12/03/2026
●ZILIPENDWA
Maendeleo Ni Mchakato Mkubwa Saaana Unao Hitaji Saana Uvumilivu Utakao Ambatana Na Juhudi Za Kuifanya Ile Kazi Yako Bila Kuchoka
Maendeleo Na Bahati Ni Vitu Tofauti Kabisaa 😂
Aya Tuwahi Zetu Tanga Na D14 Umeme
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Website
Address
Iringa
