25/05/2026
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa, Mhe. Nancy Nyalusi, ameendelea kuzisaka kura za Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo leo tarehe 24 Mei alikuwa pamoja na wananchi wa Kata ya Mlowa kuendelea kufanya kampeni za kumuombea kura mgombea Ubunge wa Jimbo la Isimani, Ndugu Emanuel Kaganda Mtatifikolo, katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Isimani.
“Umoja wetu ndiyo ushindi wetu, na kura zetu ndiyo msingi wa maendeleo ya Isimani.” — Mhe. Nancy Nyalusi
25/05/2026
“Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa, Mhe. Nancy Nyalusi, ameendelea kuzisaka kura za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya mgombea Ubunge wa Jimbo la Isimani, Ndugu Emanuel Kaganda Mtatifikolo, katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Isimani.
Akizungumza na wananchi, Mhe. Nancy Nyalusi amesema;
‘Twendeni wote tarehe 1 mwezi wa sita tukachague Chama Cha Mapinduzi (CCM) na tumchague Ndugu Emanuel Kaganda Mtatifikolo kwa maendeleo endelevu ya chama chetu na wananchi wa Isimani.’”
23/05/2026
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa, Mhe. Nancy Nyalusi ameendelea kusaka kura za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa wananchi wa Jimbo la Isimani, huku akiomba kura za ushindi kwa mgombea ubunge wa CCM, Ndugu Emanuel Kaganda Mtatifikolo katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Isimani. Amesisitiza mshikamano, maendeleo na kuendelea kuiamini CCM kwa ustawi wa wananchi wa Isimani.
23/05/2026
Wanawake wa Iringa wakiamua, maendeleo yanakuwa sauti ya wote!
Kata ya Mahuninga imeonesha imani, mshikamano na dira mpya ya uongozi wenye matokeo. ✊💚💛
“Chagua CCM, Chagua Emmanuela” sio kauli tu, ni wito wa kuendelea kujenga jamii yenye maendeleo endelevu, ushirikiano na sauti ya wananchi kusikika kila hatua.
Tunakwenda mbele pamoja, kwa nguvu ya wanawake, vijana na wananchi wote wa Mahuninga. 🇹🇿✨
Mahuninga
Tanzania
UmojaNaMaendeleo
23/05/2026
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa, Mhe. Nancy Nyalusi ameendelea na kampeni za kuomba kura za CCM ambapo Mei 22, 2026 alikuwa katika Kata ya Mahuninga akiwaomba wananchi kumpigia kura mgombea ubunge wa Jimbo la Isimani kwa tiketi ya CCM, Ndugu Emanuel Kaganda Mtatifikolo, katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Isimani.
20/05/2026
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿✅✅✅✅✅
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✅✅✅✅
19/05/2026
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE ✅✅✅✅🇹🇿🇹🇿🇹🇿✅🇹🇿🇹🇿✅✅✅✅✅🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
29/04/2026
Kazi na utu tunasonga mbele.
13/04/2026
Hongera Ndg Halima Yahaya (Davina) mjumbe wa kamati ya Utekelezaji ya UWT MKOA WA IRINGA Kwa siku Yako njema ya kuzaliwa mungu akujalie afya na maisha mazuri Happy birthday 🎂🎂🎂🎂