12/04/2026
Usimkanyage mwenzako kupanda juu.
Mwamini Mungu
Prophet Rogers Ministries is the prophetic healing and deliverance ministries under the general over
12/04/2026
Usimkanyage mwenzako kupanda juu.
Mwamini Mungu
05/04/2026
PASAKA NJEMA PEOPLE OF GOD
Imekuwa ibada ya baraka sana pale Nairobi.
Watu wa Nairobi Mungu awatunze sana kwa jina la Yesu.
Tukutane tena April 2026
Prophet Rogers Ministry
27/03/2026
HALELUYA
PEOPLE OF GOD, NIKO NAIROBI FOR HIS GLORY.
KESHO NI SIKU YA CRUSADE OF MARCH HAPA NAIROBI AT DELFIRM HOTEL - RIVER ROAD OPPOSITE TAHMEED BUS STATION.
TIME 10 AM
WELCOME ALL
Prophet Rogers
Ministry
14/03/2026
NAIROBI CRUSADE
Watu wa Nairobi mko tayari? Ni tarehe 28 March 2026 pale DELFIM HOTEL-RIVER ROAD OPPOSITE TAHMEED BUS STATION
TIME: 10 AM
28/02/2026
MUNGU AWABARIKI SANA WATU WA NAIROBI KENYA🇰🇪
CRUSADE YETU IMEKUWA YA BARAKA SANA.
ONLY ONE DAY
TODAY'S SERVICE
28 FEBRUARY 2026
22/02/2026
R. I. P
Pumzika kwa amani mwanafunzi wangu na mtoto wangu mtiifu. Ulipenda kunipiga picha ninapomhubiri Yesu, lakini sasa umeondoka. Bye bye👋 Doris my spiritual daughter
17/02/2026
NI SIKU MOJA TU
NAIROBI CRUSADE KATIKA UKUMBI WA DELFIRM HOTEL.
NI 28 FEBRUARY 2026
WELCOME ALL
02/01/2026
2 Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya yako, k**a vile roho yako ifanikiwavyo.
3 Yohana 1:2
MWAKA HUU UTAFANIKIWA KATIKA MAMBO YOTE
MIUJIZA
25/12/2025
KWAAJILI YETU MTOTO AMEZALIWA
Isaya 9:6
01/12/2025
HONGERA KUINGIA MWEZI WA 12
_Mungu akujalie mwisho mwema wa mwaka huu na akupatie kuingia mwaka mpya2026._
Unahitaji neema ya Mungu kutoka katika kiwango kidogo cha maisha na kuwa na kiwango kizuri cha maisha.
Uandae mwaka mpya, tumia mwezi huu wa 12 kuweka malengo na mipango ya mwaka ujao. Fanya ibada zitakazo badilisha maisha yako kwa mwaka mpya 2026.
Yachukie maisha ya umaskini na yatake maisha ya utajiri.
Prophet Rogers
Ministry