Habari wanazengo naomba nitumie fursa hii kuwa juza kwamba kuna umoja unaitwa kwetu pazuri huu unahusu wanyeji wa kising'a walionje ya kising'a kwa malezo zaidi njoo whatsaap no 0763787719
Kising'a Yetu
Pamoja Tunaweza
30/04/2019
Home boyz
TANZIA
KWANIABA YA KISING'A YETU NITUMIE FULSA HII KUWATANGAZIA MSIBA WA MAMA YETU MPENDWA AGNESI NDUNA (MAMA PAULINA) ULIOTOKEAJANA JIONI TAR 12/10/2018 KTK HOSPITALI YA MKOA IRINGA ALIKOKUA AMELAZWA KWA MATIBABU MAZISHI LEO KTK MAKABULI YA KISING'A
12/10/2018
Ludi nyumbani kumenoga
22/02/2018
Jembe alimtupi mkulima
Tanzia tunaskitika kwa kuondokewa na mzee wetu mpendwa mzee NDUNA mazishi yamefanyika leo katika makaburi ya kijiji cha kising'a tulimpenda lakini mungu kampenda zaid jina la bwana libarikiwe
Majonzi wanakising'a tumepmoteza kijana mwenzetu Mstafa Siraji (marambo) kwa wale wasio mjua ni kaka yake na abiba siraji au mdogo woa wa kina kulwa na doto Siraji wa kising'a ng'ambo kwa ajali yakugongwa na pikipki hapo tarehe 28;5;2017 mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi amina
07/05/2017
I'M coming Home
18/04/2017
NI UHAI # miundombinu bora misha bora
03/04/2017
Kwaniaba ya Mgeni Rasmi
30/03/2017
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Iringa
