SOKA LETU

SOKA LETU

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from SOKA LETU, Playground, Kidodi.

12/05/2024
10/05/2024

Mjue christian Ronaldo

alizaliwa kwenye kisiwa cha Madeira, Ureno, 5 Februari 1985) ni mchezaji soka wa Ureno. Nafasi yake ni mshambuliaji; kwa sasa anacheza nchini Saudi Arabia katika klabu ya Al-Nassr na timu ya taifa lake.

Ronaldo katika kombe la dunia la mwaka 2018 nchini Ureno
Ronaldo katika kombe la dunia la mwaka 2018 nchini Ureno
Mara nyingi huchukuliwa kuwa mchezaji bora duniani na kuonekana kuwa mmojawapo kati ya wachezaji wazuri wa nyakati zote. Ronaldo amepata tuzo tano za FIFA Ballon d'Or, ambayo ni zaidi ya mchezaji yeyote wa bara Ulaya, na ni mchezaji wa kwanza katika historia kushinda mara nne viatu vya dhahabu.

Ameshinda tuzo 27 katika kazi yake, ikiwa ni pamoja na mataji matano ya ligi kuu, vikombe vya UEFA Champions League na moja ya UEFA nations league.

Ronaldo[3] atastaafu na kumbukumbu za mabao mengi rasmi yaliyofungwa katika ligi za juu za Ulaya, Ligi ya Mabingwa ya UEFA kwa ngazi ya klabu na ya mataifa, pamoja na magoli mengi yaliyofungwa katika michuano ya UEFA Msimu wa Ligi. Amefunga mabao zaidi ya 600 katika klabu yake na nchi yake

Photos from SOKA LETU's post 10/05/2024

Klabu ya Paris Saint German (PSG) inayoshiriki ligi kuu nchini Ufaransa Ligue 1 imetambulisha rasmi jezi yake ya nyumbani itakayotumika katika msimu wa 2024/25.

Want your business to be the top-listed Government Service in Kidodi?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Kidodi