Hillary Kimaro

Hillary Kimaro

Share

Karibu kwa daily event about my Curee k**a Mwanahabari mbobezi.

18/02/2025

Ungana nami kila jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa 4 kamili asubuhi mpk 7 mchana katika kipindi cha JAMII LEO JITAMBUE NA JITHAMINI

Upate mengi ndani ya show hii hatari kwa sasa ikiongozwa na hk wa taifa kupitia shine fm Radio 95.1 moshi kilimanjaro
Singida 94.1
Iringa 99.3
Mbeya 101.3
Morogoro 104.7

08/02/2025

𝐊𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐚𝐟𝐚𝐧𝐢𝐤𝐢𝐨 𝐢𝐥𝐢 𝐮𝐳𝐢𝐝𝐢 𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐰𝐚 𝐯𝐢𝐰𝐚𝐧𝐠𝐨 𝐯𝐲𝐚 𝐣𝐮𝐮 𝐧𝐢 𝐥𝐚𝐳𝐢𝐦𝐚 𝐮𝐩𝐚𝐦𝐛𝐚𝐧𝐞 𝐢𝐤𝐢 𝐤𝐮𝐟𝐢𝐤𝐢𝐚 𝐦𝐚𝐥𝐞𝐧𝐠𝐨 𝐲𝐚𝐤𝐨 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐦𝐭𝐚𝐧𝐠𝐮𝐥𝐢𝐳𝐚 𝐦𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐡𝐚𝐫𝐚𝐤𝐚𝐭𝐢 𝐳𝐚𝐤𝐨 𝐤𝐢𝐥𝐚 𝐢𝐢𝐭𝐰𝐚𝐩𝐨 𝐥𝐞𝐨 𝐡𝐢𝐯𝐲𝐨 𝐮𝐬𝐢𝐤𝐚𝐭𝐞 𝐭𝐚𝐦𝐚𝐚 𝐤𝐛𝐬𝐚 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐚𝐢𝐬𝐡𝐚 .

24/08/2024

Wananchi tujuane leo tuna jambo letuuu
Highlights

29/03/2023

Jioni ya Leo ya kihabari zaidi

24/01/2023

Jioni ya leo

22/07/2022

Usikose kuskiliza TUMAINI JIPYA Kupitia Shine fm Radio 95.1 Moshi kuanzia saa 2:00 asbh - 4:00 asbh

09/10/2021

HABARI ZA ASUBUHI ... OCTOBER INASEMAJEE!!!

10/05/2021

Kila jumatatu Mpaka Jumapili safiri Nami katika Kipindi Cha Hisia za moyon & Morning praise kupitia Shine fm Radio 95.1 Moshi 📻🎙️🎧 MHz

Usikosee

Catch me on Instagram

17/01/2021

Uko tayari tuanzishe Safari ya kila jumatatu kuanzia saa 4:00 asubuhi mpk ijumaa na tamati ni 7:00 mchana ndani ya "JAMII LEO"

USIKOSEE , KUSKILIZA KUPITIA SHINE FM 95.1 RADIO MHZ

Unatamani nije mtaani gani Tuingie sokoni utupikie pishi lako afu Tuingie mezani niambie hapa afu tutafutaneee

MR JAMII LEO

24/11/2020

Kupitia 95.1 Moshi, singida 94.1, na Morogoro 104.7 shine fm Radio mhz 📻🎤🎧🎚️ kila siku za wiki jumatatu mpka ijumaa kuanzia saa 8:00 mchana mpka 10 jioni katika kipindi Cha burudani ya nyimbo za injili...show kali ya mchana ukanda wa kaskazini

17/11/2020

94.1 Shine fm radio singida
Tumewafikia.

24/10/2020

Sa 10 kamili jioni mpk 12:00 jioni tukutane katika kale milele kipind Cha nyimboo za zamani za Injili kupitia shine fm Radio Moshi Kilimanjaro 95.1 & Morogoro 104.7

Unatamani kuskia wimbo gani wa zamani wa Injili leoo weka comments yako hapa.

Want your business to be the top-listed Government Service in Kilimanjaro?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Kilimanjaro