Really Pius no Crazy of love
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Really Pius no Crazy of love, Library, fuoni kimara, .
Alles zusammen
Alhamdulillah
Wanapatikana pande za wp hawa wt?
14/07/2017
Hy jamaa anajiita great man eti ndio aliyeleta theory yake as " leader are born not created" leo ndio siku yake yakuzaliwa Maha Matata Allah akupe miaka teleeeeeeeeeeee km bikidude yenye kheir na ww azidi kukuongoza ktk kheir km ulivyotuongoza ss class pls naomba unisaidie kushare maana hy jamaa mkorofi wa picha # happy birthday bro Maha matata # nimeona niweke hz kidogo nyengine nitakutumia inbobo
*:**If:*
*A B C D E F G H I J K LM N O P Q R S T U V W X Y Z*
*is equal to:*
*1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26*
*Do you agree that we have 26 alphabets in English, as given below*
*A = 1 ; B = 2 ; C = 3 ; D = 4 ;*
*E = 5 ; F = 6 ; G = 7 ; H = 8 ;*
*I = 9 ; J = 10 ; K = 11 ; L = 12 ;*
*M = 13 ; N = 14 ; O = 15 ; P = 16 ;*
*Q = 17 ; R = 18 ; S = 19 ; T = 20 ;*
*U = 21 ; V = 22 ; W = 23 ; X =24 ;*
*Y = 25 ; Z = 26.*
Then,
*H+A+R+D+W+O+R+K*
=8+1+18+4+23+15+18+11
*= 98%*
*K+N+O+W+L+E+D+G+E*
=11+14+15+23+12+5+4+7+5
*=96%*
*L+O+V+E*
= 12+15+22+5
*= 54%*
*L+U+C+K ;*
=12+21+3+11
*= 47%*
*None of them makes 100%. Then what makes 100%?*
*Is it Money?*
*NO!*
*M+O+N+E+Y*
= 13+15+14+5+25
*=72%*
*Leadership?*
*NO!*
*L+E+A+D+E+R+S+H+I+P*
=12+5+1+4+5+18+19+8+9+16
*=97%*
*Every problem has a solution, only if we perhaps change our.....*
*"ATTITUDE"*
*A+T+T+I+T+U+D+E ;*
1+20+20+9+20+21+4+5
*= 100%*
*It is therefore OUR ATTITUDE towards Life and Work that makes OUR Life 100% Successful.*
*Amazing Mathematics*
*Beautiful msg to share*
By Traitor ze Don
28/03/2017
Lest to discuss this jaundice
No one else comes close to you
No one makes me feel the way you do
You're so special girl, to me
And you'll always be, eternally
Everytime I hold you near
You always say the words I love to hear
Girl with just a touch, you can do so much
No one else comes close
And when I wake up to
The touch of your head on my shoulder
You're my dream come true
Oh, girl you know I'll always treasure
Every kiss, every day
I love you girl in every way
And I always will cause in my eyes
Marrysam: Tuonane basi mida hii nimekumiss mpenzi
Issa: Sawa, Ila baadae k**a mida ya saa sitahivi. Mida hii nipo na marafiki napata bia.
Marrysam: Mpenzi umeanza kunywa tena? /:
Issa: Ndio ila usijali sana mpenzi , Nitakucheki mida naona simu inataka kukuta chaji.
*issa akazima simu yake kuepuka usumbufu wa kuchati na mpenzi wake*
Kisha akaendelea kunywa na marafiki zake na kujisahau mpaka ikafika saa kumi za jioni.
Ilipotimia saa kumi na nusu akarudi nyumbani na kumwona kaka yake akiwa kakasirika na amechanganyikiwa k**a kuna kitu kimetokea vile.
Kaka akamwambia issa," Nimepigiwa simu na watu wa hospitalini kuwa mpenzi wako amepigwa risasi na watu wasiojulikana na wamemwibia vitu na kukimbia na kumwacha akiwa ameshakufa, ULIKUWA WAPI ISSA, SI ULISEMA UTAKUWA NAYE LEO?"
issa akaanza kulia huku akiwasha simu yake na meseji zikawa zinaingia mfululizo toka kwa mpenzi wake alizotuma muda mchache kabla hajafa kwa kupigwa risasi.
1:45: Nilikuwa nimekaa nakusubiri hapa nyumbani kwako nje nafikiri sasa simu yako itakuwa imezima.
Naondoka nilitaka kukuona, Mpenzi enjoy na marafiki mimi naondoka nitext ukirudi nyumbani mpenzi....I Love you
1:55: Mpenzi kuna watu wananifuata nyuma yangu wananiogopesha sijui watanidhuru!
2:00: Ujumbe wa sauti*
Mpenzi naogopa wanazidi kunifuata katika uchochoro wa kutokea nyumbani kwako kwenda nyumbani kwetu, nifanyeje?
* Mlio wa bastola ukasikia * Mara kukawa kimya
Watu wengi tunatabia za kuwadharau sana wapenzi wetu na kujenga tabia za kuwapa marafiki muda mwingi kuliko familia au wapenzi wetu tulio nao.
K**a issa mwenzangu asingeamua kuzima simu ili kuepuka kutumiwa sms na kupigiwa simu, naamini Marrysam ambaye sasa ni marehemu labda asingekutwa na majanga hayo.
Hebu tujaribu kuvikubali vitu ambavyo tumepewa, kwani huwezi ona umuhimu wa kitu ulichonacho mpaka kipotee.
*Zuzu* alipewa gari aendeshe matokeo yake akaua watu 50
*Traffic*:Imekuaje ukaua watu wote hawa?
*Zuzu*:Nilikuwa spidi ghafla nikaona watu weng kushoto na mmoja kulia wewe traffic ungefanyeje?
*Traffic*:Ningemgonga yule mmoja ilikuokoa maisha ya watu wengi
*Zuzu*:hicho ndo nlichokusudia lkn nlivotaka kumgonga yule mmoja akakimbilia kwa watu weng akadhan sijamwona nikamfata huko huko
😂😂😂😂
We met it was Luck!
We talked it was CHANCE!
We became friends it was DESTINY!
We are still friends it is FAITH!
We will always be friends its a PROMISE!
On this Promise Day..
