27/05/2026
Eid Mubarak
BABU TRANS COACH ni kampuni inayohusika na usafirishaji wa Abiria na mizigo
27/05/2026
Eid Mubarak
28/04/2026
Code 2026
28/04/2026
Dah Mdau
Kampuni ya BABU TRANS inapenda kuwapa pole Familia, ndugu, jamaa na marafiki waliopoteza wapendwa wao kwenye ajali iliyotokea asubuhi ya Leo katika kijiji cha Kambi ya Nyasa wilayani Chemba.
"Sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea"
Majeruhi wote tunawaombea kwa Mwenyezi Mungu awape Shifaa waweze kupona haraka.
On the way
04/08/2024
Eeee Mwenyezi Mungu tuongoze katika njia iliyonyooka
16/07/2024
Alhamdulillah ghalakul hal
Ahsanteni wanazi wa Chang'ombe Dom
25/01/2024
Kila hatua dua