FREDY Kiloloma

FREDY Kiloloma

Share

kilimo ufugaji na biashara

Photos 10/07/2017

HII NI KWA WAAJILIWA WOTE NA WALE WANAOTEGEMEA WAZAZI/ WAUME/WALEZI
------------------------------------------------------------------------

1:Kama umeajiliwa jiulize mwajiliwa wako akifilisika kesho asubuhi utaishije kwa kipindi cha mpito mpaka utakapopata kazi nyingine?

2:Kama umeolewa unamtegemea mme wako hebu jiulize kesho akiamuka hawezi kupata pesa ama mungu akamchukua utaishije katika kipindi cha mpito?

3:Kama unaishi na wazazi au walezi mungu akawachukua kesho utaishije katika kipindi cha mpito?

Hebu tujiongeze tusije tukawa miongoni mwa omba omba wa kesho kisa wawezeshaji wetu
WAMEKWAMA...

Photos 06/07/2017

UMESHINDA MANGAPI?

Ulipopanga mtazamo wa maisha yako,yawezekana uliwaza kuwa njia ya kuyaelekea itakuwa nyoofu mpaka kufikia pale unapopataka.

Ulipoanza biashara ulitarajia faida kubwa,ila umewai kuwaza kuwa kunakipindi utapata hasara?

Ulipoanza shule ulitanguliza kushinda katika mitihani yako,je uliwai kuwaza kuwa kuna kufeli mitihani?

Wakati unaingia katika mahusiano uliwaza raha tu kutoka kwa mpenzi wako,je umewai waza kuwa kutatokea mafarakano makubwa?

Unapo anza safari kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine unawaza kufika salama,je umewai kuwaza kupata ajari barabarani?

Sasa ebu tujiulize katika mipango yetu ya maisha tumekuwa tukiwaza mafanikio lakini je ulishawai kuwaza kushindwa?

Je pindi uwazapo kufanya jambo fulani,umemtanguliza Mungu mala ngapi?

Sasa ukitaka kufanikiwa katika maisha yakupasa utambue pindi uwazapo kushinda jambo fulani,au unapoelekea mafanikio lazima kushindwa au vikwazo viwepo ndani yake.

Na huwezi kufanikiwa bila kuvishinda vikwazo ivyo.

JE UMUMESHINDA MANGAPI?
Fredy kiloloma

Photos 04/07/2017

K**A WEWE NI MZIMA WA AFYA....SEMA CHOCHOTE APOKEE UPONYAJI.. NAWE UTABARIKIWA..

-LIKE & SHARE

Photos 04/07/2017

Their beauty is so colorful 💙❤️💖 like our page and share for more

Photos 11/05/2017

Being business-minded...
__It can become a national culture.

Many years ago, I was on holiday on the tiny island nation of Mauritius. Not long after I arrived, I set out to understand how its economy ticks and its key drivers. I do this all the time, wherever I go.

First of all, I had a good look at its economic data: Very impressive... Wow!

It's in the top five African countries when measured in terms of GDP per capita. Currently, it's measured at about $9100 (per citizen). Not distorted by a major mineral like oil or diamonds, this is a very meaningful measure in their case.

I don't want to get into a major economic or political debate because that's not the purpose of this platform. I know the population at 1.26m might seem very small for a case analysis but I want to share with you one anecdotal story that's relevant regardless.

One day, I asked the hotel to give me a car and driver as I wanted to tour the island on my own. For an entire week, a young Mauritian driver would pitch up at my hotel and take me around. Having realized what I was interested in, he began to make suggestions...

"Today, Mr Masiyiwa, I want to show you our diamond industry," he said excitedly.

"You have a diamond industry?" I asked surprised. "My studies show that you have no minerals in this country?"

"We don't mine; we cut and polish. Here we are like the Japanese. We don't have minerals, so we buy raw diamonds, cut them and polish. You make more money that way," he said.

"Can you take me there?" I asked quietly.

On another occasion, I asked him for a place I could stop to eat and he drove me to a very expensive restaurant. I asked him why he had taken me to the most expensive place!

"Our economy, sir, is tourism. We need you to spend as much money as possible when you're here. If I take you to a cheap restaurant, it's not as good for Mauritius."

Then he added apologetically, "I can take you somewhere cheaper, if you like?"

"No, it's ok, let's help Mauritius."

"After lunch, I will take you to Cybercity, sir."

Back at the hotel, the hotel manager said to me, "Did your driver show you Cybercity? That's our future, sir. We want to go into IT, as a country," he said proudly.

"I have seen Cybercity. It's an amazing vision."

"Will you invest, sir? If you like, I can arrange someone from our Ministry of Industry to come and see you? Should I arrange?"

As soon as that holiday was over, I sent a team to begin the process of setting up a big office in Mauritius. We went to Cybercity. Soon we were joined there by some of the largest companies in the world.

Years later, I shared the story with a friend who was also a businessman, and a huge investor in Mauritius.

"So, they did that to you as well?" he asked. "They are absolutely obsessive about getting investment into their country. That's how they turned a nation that was essentially a sugarcane plantation into one of the wealthiest African nations."

Here the cab driver knew and had been drilled that they must encourage tourists to spend money. The hotel manager was also at work encouraging investment.

And they had pitched to the right guy... Have I mentioned before that I'm an entrepreneurial tourist?

# I look at needs in that community that an entrepreneur could help solve.

# I look at solutions being used there that could work somewhere else...
Imagine if every taxi driver and hotel manager in Africa met visitors with such business-minded vision for their countries...

Let's be smart. A mindset doesn't cost a cent to change!

End.

Photos 11/05/2017

PESA JIRANI YAKE PINGU!

Huwa ninawaambia watu kwamba siku zote ukitaka kutafuta pesa kamwe usiogope PINGU. Pesa jirani yake Pingu. Unapoingia kwenye biashara utakutana na vitu vingi, utakutana na wafanyabiashara wenzako wengi ambao watakuletea manenomaneno, wakati mwingine wanaweza hata kukush*taki kwa kitu ambacho hujafanya.

Ni rahisi kuona mfanyabiashara kak**atwa, kisa kafanya hivi au vile. Vingine huwa vya kweli na vingine vya kusingiziwa. Ukiogopa pingu, acha wazo la kuwa mfanyabiashara mkubwa, ili ufikie ubilionea, kuna vikwazo vingi, katika hivyo vyote, PINGU nalo lipo.

Unapotafuta pesa, acha roho ya woga, pesa haiwapendi watu waoga, pesa haipendi watu wanaoogopa pingu. Kuna matajiri duniani ambao kila siku wao na pingu. SIkuambii utafute pesa kwa bastola, tafuta kwa kihalali kabisa ila jua kuna vipingamizi vingi sana huku pingu zikiwa pembeni.

Je, utatafuta pesa ili ukutane na pingu au utaacha kwa kuwa unaogopa pingu?

Uamuzi ni wako.

Photos 13/04/2017

BARUA ALIYOANDIKA BILIONEA WA APPLE, STEVE JOBS KABLA YA KUFARIKI

“Nilifikia kilele cha mafanikio katika biashara duniani. Katika macho ya watu wengine, maisha yangu ni kielelezo cha mafanikio. Hata hivyo, mbali na kufanya kazi, nina furaha ndogo. Kwa jumla, utajiri ni uhalisia tu wa maisha ambayo nimeyazoea.
Wakati huu ambao nimelala kitandani nikiwa mgonjwa na kuyakumbuka maisha yangu yote, ninagundua kwamba ufahamu utajiri nilionao umefifia kwa kuwa hauna maana wakati kifo kinakaribia.
Nikiwa gizani, ninautazama mwanga wa kijani kutoka katika mashine zinazonisaidia kuendelea kuishi na kusikia sauti za muungurumo wake, ninasikia na kuhisia pumzi za Mungu na za kifo zikinikaribia…
Sasa nafahamu kwamba tunapolimbikiza utajiri wa kutosha maishani mwetu, inatupasa kufuatilia mambo mengine ambayo hayahusiani na utajiri…
Kiwe ni kitu fulani ambacho ni muhimu zaidi:
Labda ni uhusiano, labda ni sanaa, labda ni ndoto inayoanzia katika siku za ujana…
Kutafuta utajiri muda wote utamwingiza mtu katika maisha yasiyofahamika, k**a mimi.
Mungu alitupa hisia za kutambua pendo katika kila moyo wa mtu, si mauzauza yanayoletwa na utajiri.
Utajiri nilioupata maishani mwangu siwezi kuondoka nao.
Ninachoweza kuondoka nacho ni kumbukumbu zilizojaa upendo.
Huo ndiyo utajiri wa kweli utakaokufuata, utakaoungana nawe, ukakupata nguvu na mwanga wa kusonga mbele.
Upendo unaweza kusafiri maelfu ya maili. Maisha hayana kikomo. Nenda unapotaka. Fika katika kilele unachotaka kufika. Yote yamo moyoni na mikononi mwako.
Ni kitanda gani chenye gharama zaidi duniani? Ni kitanda wanacholalia wagonjwa…
Unaweza kumwajiri mtu akaendesha gari lako, mtu akakuingizia fedha lakini huwezi kumpata mtu wa kubeba ugonjwa wako.
Vitu vilivyopotea vinaweza kupatikana. Lakini kuna kitu kimoja ambacho hakipatikani pindi kikipotea – ni Maisha.

Mtu anapokwenda katika chumba cha upasuaji, atagundua kwamba kuna kitabu kimoja ambacho bado hajamaliza kukisoma – “Kitabu cha Maisha ya Afya”.
Hata tukiwa katika daraja gani la maisha hivi sasa, muda ukifika, tutakabiliana na siku ambapo pazia la maisha litashuka.

Thamini Upendo kwa familia yako, mpende mwenza (mke/mme) wako, wapende marafiki zako. Jitambue vyema. Wathamini watu wengine.”

Baada ya kuandika barua hiyo! Siku chache mbele akafariki!

Photos 13/04/2017

Kuna vitu vingi utatakiwa kuvichukia...ila cha kwanza ni UMASIKINI.

Ukiwa masikini, utadharaulika.
Ukiwa masikini hautoheshimiwa.
Ukiwa masikini hautosikilizwa.
Ukiwa masikini hautopendwa.

Kwa nini uukumbatie umasikini? Kuutokomeza ni kufanya kazi kwa bidii na kujipanga kwa kuweka mikakati.

Photos 13/04/2017

nawatakia jion njema

Untitled album 20/02/2017
Want your business to be the top-listed Government Service in Mafinga?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address

P O Box 29
Mafinga