01/01/2026
Ofisi ya Mbunge Simanjiro
Akaunti rasmi ya Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Simanjiro.
Taarifa za shughuli za Mbunge, mawasiliano ya wananchi na maendeleo ya jimbo.
📍 Simanjiro – Manyara, Tanzania
📞 Mawasiliano:+255780338799
01/01/2026
25/12/2025
I wish the people of Simanjiro and all Tanzanians a Merry Christmas filled with peace, love, and togetherness.
As we welcome the New Year 2026, let us remain united, hopeful, and committed to working hard for the continued development of Simanjiro and our beloved nation.
Merry Christmas and a Happy New Year 2026
James Kinyasi Millya
Deputy Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation
Member of Parliament for Simanjiro
God bless Simanjiro. God bless Tanzania.
24/12/2025
Mheshimiwa James Kinyasi Millya,
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Mbunge wa Jimbo la Simanjiro,
anawatakia Wananchi wote wa Simanjiro pamoja na Watanzania wote kwa ujumla
Heri ya Sikukuu ya Krismasi iliyojaa amani, upendo na mshikamano.
Tunapofunga mwaka 2024 na kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2025, tuendelee kudumisha umoja, uzalendo na kufanya kazi kwa bidii kwa maendeleo ya Simanjiro na Taifa letu kwa ujumla.
🎉 Heri ya Mwaka Mpya 2026🎉
Mungu ibariki Simanjiro, Mungu ibariki Tanzania
Frank Oleleshwa
Karibuni!
Hii ni akaunti rasmi ya Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Simanjiro.
Kupitia ukurasa huu tutakuwa tukiwashirikisha wananchi taarifa za:
Shughuli za Mbunge
Mikutano na ziara jimboni
Taarifa za maendeleo
Mawasiliano ya moja kwa moja na wananchi
Karibuni tufuatane, tutoe maoni kwa heshima na tushirikiane kujenga Simanjiro yetu.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Manyara
2017
