07/09/2023
Peregrine falcon the fastest bird in the world 🌍
Established in 2007, IKONA covers an area of 242.3 kilometres of wildlife conservation area which is home to migrating animals from Serengeti National Park
IKONA: Assembling point for The Great Wildebeest Migration
SETTING a natural home to migrating animals from Serengeti National Park, IKONA WMA is a community based wildlife conservation area where photographic safaris had paid a rewarding prize to local communities neighbouring Serengeti National Park. Learn more at http://tanzaniatourism.go.tz/en/destination/ikona-wma
07/09/2023
Peregrine falcon the fastest bird in the world 🌍
06/08/2023
Serengeti plains
04/03/2022
In IKONA WMA
15/08/2021
Kwa mara Nyingine Tena, Tanzania imefanikiwa kuingiza vivutio vyake vya Utalii katika kuwania tuzo za Utalii Duniani,Yaani World Travel Awards 2021
Ni wakati wetu kuifanya dunia ifahamu ulipo *mlima kilimanjaro* kwa kuupigia kura kwenye kundi la kivutio bora zaidi Afrika, (*Africa's leading Tourist Attraction*)
Bila kusahau Hifadhi yetu pendwa kabisa ya *Serengeti* kwenye kipengere cha Hifadhi bora zaidi Afrika, (*Africa's Leading National Park*)
*JINSI YA JUPIGA KURA*..
Fungua tovuti ya www.worldtravelawards.com/vote
Jisajili kwa kufuata hatua zote, kisha chagua bara la *Afrika*, na pigia kura vipengere vya *Africa's Leading National Park* (chagua *Serengeti National Park*) na *Africas Leading Tourist Attraction* (chagua *Mount Kilimanjaro*)
Mwisho wa kupiga kura ni Tarehe 1 Septemba mwaka huu. Kwa Pamoja tutashinda.
Vote in the annual World Travel Awards Who wins? You decide! Cast your vote in the annual World Travel Awards.
The wildebeest migration in Serengeti National Park
02/09/2020
Mbio zimewadia
26/08/2020
Karibu upate sehemu nzuri ya kupumzika siku ya mbio za riadha Serengeti
| Monday | 08:00 - 18:00 |
| Tuesday | 08:00 - 18:00 |
| Wednesday | 08:00 - 18:00 |
| Thursday | 08:00 - 18:00 |
| Friday | 08:00 - 18:00 |