16/04/2020
James Mtawa
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from James Mtawa, Government Organization, SLP 1988, Mbeya.
16/04/2020
12/04/2020
Unaikumbuka hii?.
2010, Jerry Tegete aliamua kuondoka Sweden kurejea Dar picha ya timu aliyokuwa amefanya majaribio kumuomba abaki kwa kuwa inaamini amefuzu.
Tegete alitaka kurudi acheze Kariakoo DABI, tayari Simba alishakuwa bingwa na alichotaka ni kucheza dhidi ya Simba.
Tegete alirejea na kucheza mechi hiyo, akafunga mabao mawili lakini mwisho Simba SC 4 Vs 3 Yanga SC... HAPA NI SHUJAA WA MECHI, Mkenya Hillary Echesa aliyefunga bao la nne na la ushindi.
Hii ni kati ya DABI chache za Kariakoo zenye mabao mengi... Yalifungwa mabao 7, si mchezo.
Ilikuwa hivi, mapema tu dakika ya 3' Uhuru Suleiman akawaamsha Simba, dakika ya 30 Chuji akaisawazishia Yanga, baadae Mgosi akaiandikia Simba la pili 53' , Tegete akaisawazishia Jangwani 69' , Mgosi akapga la 3, 74' , Tegete akaisawazishia Jangwani 89' (3-3) , dakika ya 90+ Okwiii alimpa pasi Echessa aliachia kombora kali umbali wa mita 36 hivi, kipa Mserbia, Obren Curkovic aliyedaka vizuri siku hiyo akabaki hana la kufanya.
31/03/2020
Wanataka kushindana nasi .HATA SALE
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
SLP 1988
Mbeya
