Nock Success story

Nock Success story

Share

success stories wakikwetu watu wa kagera kwa wingi

09/02/2023

🌹🌹FANYA UNACHOKIAMINI ,USIANGALIE WATU WANASEMA NINI, Maana hawaujui uwezo wako wa ndani na kamwe hawawezi kuamini unachokisema juu ya maono yako🌹🌹
Nock Success story

09/02/2023

🌹🌹NI VIBAYA SANA BINADAMU KUMCHUKIA BINADAMU MWINGINE
Ndiyo utamfanyia yote kwa sasa lakini ukumbuke kuna mda Moto utawaka ndani ya MOYO wako ukidai kwanini ulitenda yale kwa mtu asie na atia mbele ya uso wa MUNGU
Vaa Utu ,Ondoa mzigo wa chuki ndani ya moyo wako.🌹🌹
Nock Success story

13/01/2023

🌹🌹Ukiwa na kitu ambacho hakileti FAIDA au MATOKEO kinakuletea hasara tu unafika mda unakitupa na kuachana nacho kabisa.
Sasa na MUNGU ndivo anavofanya kwa Watu ambao hawana malengo hawapotiali kutimiza KUSUDI alilowaletea apa Duniani ni k**a wana mtia hasala MUNGU ,nae anaona ni Kheri kuwaondoa kuliko kwendelea kumtia hasara ,
MUNGU ni k**a amewekeza mda kwetu ili tuweze kuleta MATOKEO mazuri apa Duniani
HASARA MUNGU🌹🌹
Nock Saidyfaithoflion

08/01/2023

🌹🌹Unaweza ukawa na Juhudi na ukawa na Ujasili wa kufanya Mambo lakini USIPOKUA NA MWELEKEO KATIKA MAISHA wewe apo UMEFAIL ,unachokifanya nisawasawa na BURE, wewe apo unapambana kuishi LEO TU
Usipojua unataka nini? Usipojua wewe ni nani? usipojua unatafuta nini? Utaweka juhudi zoote lakini Hautapata matokeo . Tafuta kusudi na lihishi 🌹🌹

09/08/2022
Want your business to be the top-listed Government Service in Mbeya?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


Mwanjelwa
Mbeya