Kijana ambaye hujao na Binti ambaye hujaolewa unahitaji kusoma kitabu hiki. Kina madini yatakayokunusuru na MIGOGORO YA ndoa isiyo ya lazima. Mambo matano unayotakiwa kuyajua kuhusu mwenzi mtarajiwa yatakuandaa kisaikolojia na bad surprises za ndoa. Tuma ujumbe kwa simu 0655 383897.
Pre Marriage Talk
Pre Marriage Talk is a ministry under the founder Rev. Isaac Challo (PhD) and his wife Betty Challo. They believe good marriage is prepared before the marriage.
They teach, counsel and pray for young people to prepare them to be good husbands and wives.
Migogoro katika ndoa huleta athari katika maeneo makubwa 3;
1. Malezi ya watoto
2. Ufanisi katika kazi
3. Afya ya akili
Ili kujifunza zaidi fuata maelekezo ya tangazo.
01/12/2024
07/06/2024
MIGOGORO KATIKA NDOA NI SUMU YA USTAWI WA MAMBO MENGI KATIKA FAMILIA. MIGORORO YA NDOA HULETA ATHARI KATIKA MAMBO YAFUATAYO:
1. MALEZI YA WATOTO HUWA MAGUMU KATIKA NDOA YENYE MGOGORO.
2. KITU CHOCHOTE ANACHOFANYA MTU ALIYE KATIKA MGOGORO WA NDOA HUWA KINAPOTEZA UFANISI, MFANO:
HUDUMA: MTUMISHI MWENYE MGOGORO WA NDOA ANATUMIKA KWA MAUMIVU SANA, NA HIVYO HUDUMA INAKUWA K**A MZIGO
AJIRA: MTU ALIYEKATIKA MGOGORO WA NDOA HUKOSA UMAKINI KATIKA SHUGHULI ZAKE YAANI UJUZI, UTAALAMU WA MTU MAHALI PA KAZI, HUGUSWA NA MIGOGORO YA MTU NA NDOA YAKE. KWA VIJANA MNAKAOKARIBIA KUFUNGA NDOA MNAWEZA KUSHUGHULIKA NA KUPUNGUZA MIGOGORO YA NDOA KWA KUJADILI MAMBO 15 AMBAYO HUWA VYANZO VYA MIGOGORO KATIKA NDOA CHANGA. USIKOSE KITABU HIKI KITAKUWA MSAADA KWAKO. KWA WASHAURI WA NDOA NA WACHUNGAJI USIKOSE NAKALA HII, KWA SASA KINAPATAKANA KWA NAKALA LAINI ( SOFT COPY) INGIA SPRINGPLAY KUPITIA GOOGLE PLAYSTORE ILI KUKIPATA UKIWA MAHALI POPOTE DUNIANI. PIA UTAPATA VITABU VYETU K**A KAULI TATA ZA YESU, MAZUNGUMZO KABLA YA NDOA, KURUDI KWA YESU, KARIBU SANA,.
20/05/2024
Kitabu cha Ndoa ni zawadi, kimesheheni madini kuhusu makusudi ya ndoa, namna ya kuboresha mahusiano ya ndoa na utatuzi wa migogoro katika ndoa. Tutakuletea mahali popote nchini. Piga simu namba 0752805276 kwa maelezo zaidi. NDOA BORA INATENGENEZWA, HAITOKEI TU.
Kwa watu wa Songwe, Mbeya , piga simu namba +255759777977 ili kukipata kitabu hiki.
Click here to claim your Sponsored Listing.

20/05/2024