Chigzz platform

Chigzz platform

Share

private media

09/04/2023

Pasaka njema

06/04/2023

Usipende kulahumu unatakiwa upambane
Usiwachukie wanao kuzarau
Wapende Hila husiwaamini

08/08/2022

Did you love your country like me🤗!
Comment or say something

04/12/2021

Kijana akijitafutia riziki,Aanzisha mradi wa kuweka Grisi kwenye gari
Vijana kuweni wabunifu
Fuatilia video hiapa kujifunza

07/11/2021

Sir chigzznews
Nawatakia jumapili njema
Mung+ Awabarki ktk utafutaji wenu

05/11/2021

>Habari Naitwa Sir chigzznews Nawashukuru kwa support yenu kubwa
Napenda kuwapa taarifa account yangu Sasa ni salama kabisa tokea nilitangaza kwamba kunamtu amenihacker Sasa ni salama kabisa tunaendelea na kazi
>Leo natambulisha kazi tunazo jihusishanazo kwe account hii k**a utakuwa na huitaji na kati ya Mambo haya tutayoweka hapa utatutafuta inbox tuchat tukusaidie
>Tunajihusisha na kusafirisha bidhaa mbali mbali bidhaa za dukani na nyumbani
>Agiza mzigo mjini tukutumie popote ulipo tutakuunganisha na muusika wa hitaji lako ukiwa huko nyumbani na mzigo kufika salama
>Vilevile
Tunauza baiskeli aina zote jumla na rejareja
Tunauza pikipiki aina zote
Tunaprint T-shirt, jezi,mashuka, overall nk
>PiaTunatangaza matangazo madodo kupitia Sir chigzznews tuna mfumo maarumu wa kukusaidia kukuza biashara yako ndogo kuwa kubwa kwa haraka zaidi tuamini chat nasi tukusaidie
Kwamaelezo zaidi njoo inbox kwa Sir chigzznews tuchat harafu tutakupa namba zasimu tukuhudumie
Sir chigzznews
kaurimbiu (Tutume ukiwa nyumba tutakufikia)

04/11/2021

Marafiki kuweni makini kunamtu ameingia kwenye hii account anachat na watu humu naomba msije danganyika Mimi huwa sijibu comments
Angalizo kuweni making jamani Mimi sijibu massage wala comment s kuna hatari mtu amenihacker kuweni makini

Want your business to be the top-listed Government Service in Morogoro?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Morogoro