Wanafunzi Stationery

Wanafunzi Stationery

Share

Joining instructions kwa walio chaguliwa kidato cha tano& Admission letter kwa walocgaguliwa kujiunga na vyuo zinapatikana(tunaziprint) kwa bei rahisi

08/05/2021

[5/8, 10:59] Dickson: *📢📢 kwa WAHITIMU FORM SIX NA WANACHUO WOTE WATARAJIWA* .

🎓ZOEZI LA UHAKIKI WA VYETI VYA KUZALIWA NA VIFO (kwa walofiwa na mzazi)ONLINE KWA AJILI YA MAOMBI YA MKOPO YA VYUO LINAENDELEA ,FIKA WANAFUNZI STATIONERY MAHENGE MJINI TUKUHUDUMIE 🖥️/Kama uko mbali📱 0683955583 tuwasiliane.
🙏MTARIFU MWENZAKO.
[5/8, 11:00] Dickson: TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA ASTASHAHADA YA UALIMU ELIMU YA AWALI, MSINGI NA STASHAHADA YA UALIMU ELIMU SEKONDARI MWAKA WA MASOMO 2021/2022. Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia anatangaza nafasi za mafunzo ya Ualimu kwa ngazi ya Astashahada ya Ualimu Elimu ya Awali, Msingi na Stashahada ya Ualimu Elimu ya Sekondari (Sayansi miaka mitatu). Waombaji wa mafunzo haya ni wahitimu wa Kidato cha NNE wenye ufaulu wa Daraja la Kwanza hadi la Tatu (I-III). Wizara inakaribisha maombi ya kujiunga na mafunzo ya Ualimu katika Vyuo vya Serikali na visivyo vya Serikali .FIKA WANAFUNZI STATIONARY KUTUMA MAOMBI MWISHO NI 31/05/2021

27/09/2020

WANAFUNZI STATIONERY tunatoa huduma zifuatazo kwa garama nafuu na ubora wa hali ya juu.

🟩 INTERNET
🔹salary slip
🔹Online applications.
🔹Online registration kwa private na school candidates.
🔹online registration birth
🔹online applications za vyuo vyote.
🟩SCANNING & LAMINATION.
🟩 PICHA ZA PASSPORT SIZE

🔹scan vyeti,barua za ajira na kuhifadhi kwenye email/online
🔹ku scan document zote za muhimu na kuzi hifadhi online.
🟩PRINTING & PHOTOCOPY
🟩 LESSON PLAN, SCHEME OF WORK&FOMU ZA OPERA'S ZINAPATIKANA.
🟩 DAFTARI ,KALAMU,COUNTER BOOK
🟩 KADI ZA MIALIKO,MICHANGO NA ZA BIASHARA
☘ Kwa watumishi wa umma kuna punguzo kwa huduma za salary slip na scanning.
Karibuni sana TUKO MAHENGE MJINI KARIBU NA BALUA LODGE.
Contacts: 0683955583/0735955583

Want your business to be the top-listed Government Service in Morogoro?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


MAHENGE
Morogoro