06/09/2024
Bondwa peak 2161m a.s.l
Visit visit
📲+255625233852
Uluguru Nature forest Reserve deals with nature conservation, Biodiversity conservation,Training, researches, and TOURISM
06/09/2024
Bondwa peak 2161m a.s.l
Visit visit
📲+255625233852
06/09/2024
Night experience ULUGURU NATURE FOREST RESERVE
Visit
18/08/2024
20/05/2024
Forest adventure time
20/05/2024
Camping life Uluguru Nature Forest Reserve
20/05/2024
Karibu kutaliii hifadhi mazingira asilia Uluguru 💦💦
12/03/2024
TFS YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA DORIA NA EURO 20,000Dar: TFS mapema hivi leo imepokea msaada wa Euro elfu ishirini pamoja na vifaa vya kisasa vitakavyotumika kuimarisha doria katika Hifadhi ya Mikoko iliyopo Delta ya Mto Rufiji ambayo ni kubwa kuliko zote Afrika Mashariki.Akizungumza wakati wa makabidhiano ya msaada huo, Mkurugenzi wa Shirika la Wetland International Afrika Mashariki, Julie Mulonga alisema wanatambua kazi kubwa inayofanywa na TFS katika kuhifadhi mikoko na wao k**a wadau wameamua kuwapa vitendea kazi vitakavyowasaidia kupunguza gharama za doria.“Leo tunatoa ndege hii isiyo na rubani moja pamoja na vishikwambi 11 ambavyo watapewa wananchi wanaoishi karibu na maeneo ya hifadhi ya mikoko ili waweze kutoa taarifa kunapokuwepo na uharibifu kwa maafisa uhifadhi na wao kwenda moja kwa moja kuk**ata wahalifu, jambo ambalo litapunguza gharama za doria kwa kuwa doria zitakuwa za uhakika,”“Vifaa hivi ni hatua za awali, tutaendelea kuwawezesha, bila kusahau kuwajengea uwezo wa matumizi ya vifaa wananchi watakaopewa vishikwambi kwa ajili ya kutoa taarifa kwa wahifadhi, aidha tumetoa Euro 20,000 kwa ajili ya kuchangia maandalizi ya mkakati wa Kitaifa wa Usimamizi na Uendelezaji Mikoko Tanzania,” anasema Mulonga.Akipokea vifaa hivyo, Naibu Kamishna wa uhifadhi Caroline Malundo kwa niaba ya Kamishna wa uhifadhi TFS Prof. Dos Santos Silayo anasema wanathamini mchango huo huku akisisitiza kuwa ushirikiano wa TFS na shirika hilo ulianza toka mwaka 2017.Anaongeza kuwa mashirikiano yao yalilenga kuboresha uhifadhi wa Misitu ya Mikoko ya Delta ya Mto Rufiji katika Wilaya ya Kibiti kwa njia ya kupanda Mikoko na kuwezesha usimamizi bora na kujenga uwezo wa watumishi kwa kupatiwa mafunzo mbalimbali ya njia shirikishi za upandaji wa Mikoko na matumizi ya ndege zisizotumia Rubani.“Tukio la leo ni muhimu, linaimarisha uhusiano wa Kitaasisi baina yetu, lakini ndege hii itasaidia kuleta taarifa ya matukio ya uharibifu wa misitu ya mikoko unaotokana na shughuli za kibinadamu
23/02/2024
*EASTER DAY TOURS*
*Hululuwaterfalls*
*Date:* 30March,2024 and 01April,2024
*Gharama*
East African: Tsh.50,000/-
Non-East African: USD35
*Gharama itahusisha*
•Usafiri kwenda na kurudi
•milo mmoja
•Guiding
•Kiingilio Cha hifadhi
*Booking*
+255768726123/+255625233852
website www.kisigasafaris.co.tz Emails [email protected]
[email protected]
23/02/2024
Join 1nigth and 2days trip ULUGURU NATURE FOREST RESERVE
Morogoro Tanzania.
Contacts
+255625233852 +255764215405
| Monday | 07:30 - 15:30 |
| Tuesday | 07:30 - 15:30 |
| Wednesday | 07:30 - 15:30 |
| Thursday | 07:30 - 15:30 |
| Friday | 07:30 - 15:30 |