Shomvi Rajabu Issa

Shomvi Rajabu Issa

Share

kazi iendelee #SSH

10/09/2025

SAMIA NDIO CHAGUO PEKEE LA WATANZANIA WALIO WENGI

10/09/2025

WATANZANIA WOTE TUKO NA SAMIA MPAKA 2030

10/09/2025

SSH, Alipoingia madarakani alikuta bajet ya mikopo vyuo vikuu ni chini ya bilioni 200 akaipandisha mpaka kufikia zaidi ya bilioni 500 leo kila mwanafunzi mwenye sifa anapata mkopo tena kwa wakati
Chagua CCM chagua Samia Suluhu Hassan

10/09/2025

SSH,alipoingia alikuta watoto wa form one wanachelewa kwenda shule kwa upungufu wa madarasa mpaka wazazi wachangishwe ujenzi wa madarasa. Rais Samia alipiga marufuku mzazi kuchangia ujenzi wa shule na akajenga madarasa 23000 ndani ya miaka 2 tu leo neema na furaha kwa wazazi na wanafunzi
Chagua CCM chagua Samia Suluhu Hassan

10/09/2025

SSH, AUGUST 2022 ALITOA ZAIDI YA BL 50 AKAWEKA KWENYE MBOLEA K**A RUZUKU BASI BEI IKASHUKA KUTOKA 120.000 MPAKA 50.000 HADI LEO HAIJAPANDA NA MBOLEA IPO YA KUTOSHA. CHAGUA CCM CHAGUA SAMIA SULUHU HASSAN

10/09/2025

MTULIVU,MSIKIVU,MFUATILIAJI,MPAMBANAJI,MKWELI NA MUADILIFU. CHAGUA CCM CHAGUA SAMIA SULUHU HASSAN

10/09/2025

SSH, Amejenga bwawa la umeme kubwa ambalo ni la 3 kwa ukubwa Afrika baada ya Ethiopia, na Nigeria na kwa Afrika Mashariki ni liko tz pekee sasa umeme ni masaa 24 . Chagua CCM chagua Samia Suluhu Hassan

10/09/2025

SSH, mkoa wa morogoro pekee amejenga hospital mpya za wilaya 7, vituo vya afya vipya 33, zahanati mpya 82 na shule mpya za sec zaidi ya 150. Chagua CCM chagua Samia Suluhu Hassan

10/09/2025

CHAGUA SAMIA CHAGUA CCM CHAGUA MAENDELEO

10/09/2025

SSH, amejenga reli ya umeme na ya kasi ndefu ya kmt 2500 ambayo afrika haipo na duniani ni ya tatu kwa urefu baada ya China na Ujerumani
Chagua CCM chagua Samia Suluhu Hassan

10/09/2025

SSH, anatoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati neema hii haipo popote Afrika nzima ila Tanzania pekee chagua CCM chagua Samia Suluhu Hassan

Want your business to be the top-listed Government Service in Morogoro?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Mikese
Morogoro
46