Rafiki wa Watoto Tanzania

Rafiki wa Watoto Tanzania

Share

Karibu tulee pamoja.

RWT ni shirika linalojihusisha na maswala mtambuka yawahusuyo watoto; hii ni pamoja na makuzi na malezi, kuwalinda na kuwasaidia watoto ili kufikia malengo yao.

21/05/2025

Kila wazazi/walezi/walimu wa watoto tupatapo nafasi ya kuwafanya watoto wetu wawe na furaha, tusisite kufanya hivyo...tuwafanye wafurahi matokeo yake watatufurahisha na sisi wakati tunaihitaji zaidi furaha yao. Hapa watoto wako ktk igizo kila mmoja akifurahia nafasi yake.

28/10/2024

Zama hizi za Sayansi na Teknolojia zaweza kuwa baraka au laana kwa watoto wetu, kazi ni kwangu na kwako kuchagua na kumwelekeza mtoto katika njia itakayomfanya kuwa salama.

Want your business to be the top-listed Government Service in Morogoro?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Mazimbu
Morogoro