19/10/2024
MWANAFUNZI NA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
Ni haki ya kila mwanafunzi mwenye sifa Kujiandikisha na kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa.
Ewe Mwanafunzi mwenye sifa (Miaka18+) nenda kajiandikishe, uwaambie na wenzako wakajiandikie.
Ewe mtanzania hamasisha wanafunzi wakajiandimishe pia ili washiriki uchaguzi.
.

11/10/2024