Elimu bila siasa

Elimu bila siasa

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Elimu bila siasa, Dar es Salaam.

26/10/2025

mgombea asema Hana tamaa

27/03/2025
22/03/2025

TUNAKUTAKIA KAZI NJEMA BABA

23/11/2024

karibu supu ya mbuzi kichwa chote jelo

23/11/2024

siku zimekalibia
umbea naacha itakua j5
siasa zenye mantiki ndizo zitaveba mitaa/vijiji
na zile ziitwazo lopo zitashushwa na waandishi watapata vyakuandika na pages zao zitang'ara sana

07/09/2024

AFU HUYO UMKOPESHE HELA NYINGI UONE

07/09/2024

Ivi nyie mnae pokea mali za watu(sadaka) kwa tafsili itaenda kusaidia maskini mbona hamna hata kituo cha kulelea watoto yatima na pesa mnapokea kila siku😭😭

Na mungu anawaacha? Kwanini lakini au tuseme kanisa ni sehemu ya ajila isiokua na kodi?
AU TUACHE TU

04/09/2024

Safarii ya masikini haina mandalizi makubwa sana
Nguo anavaa pea3 zote kwa pamoja
Kifungashio cha upolo haisumbui

04/09/2024

Maishani jitaidi kutumia magazijuto
Hii hahiitaji D 2 hii inaitaji darasa4 tu shatoboa

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Culinary Team

Attire

Telephone

Address

Dar Es Salaam