PROF Kezilahabi Archives

PROF Kezilahabi Archives

Share

tunu zetu zinahifadhiwa na kuendelezwa kupitia ushairi na riwaya za waandishi mahiri wanaotumia lugha fasaha ya kiswahili tujifuze riwaya na ushairi

02/06/2020
21/11/2019

Wanahitajika kungwi wa kughani na kutunga mashairi yatakayokidhi vigezo vya kuhakikiwa na wanafunzi wa kidato cha NNE na sita. Shairi moja ni dola 250$ za kimarekani!

12/06/2019

WALIMU HAWA WENYE MSIMAMO THABITI JUU YA TAMADUNI ZETU NDIO HUITWA WANOKO MASHULENI. Nini mtazamo wako juu hili........

Untitled album 09/03/2019

DUNIA SINIA
PAKUA UNACHOWEZA
UTANDAWAZI NI NGONJERA ISIYO NA HADHIRA..

17/02/2019

Tanganyika yetu
Ilijengwa juu ya msingi imara
Wa UMOJA NA USHIRIKIANO..
Katika jamii ile ilioheshimu utu na Uhuru wa kila mmoja wao # # # # #
TUKUMBUKE PEPO YETU......

07/02/2019

IN AFRICA, DEMOCRACY IS........... "The government of the some, by the some and for the some..........
Waafrika tujiulize tunafeli wapi?

07/02/2019

KUISHI NI KUFA TARATIBU

30/12/2018

Wako wapi watoto wale
Wa mama ntilie

09/12/2018

Ni vizuri tujifunze kitu kutoka katika silika ya malezi na makuzi ya kuku

26/11/2018

Its true

Want your business to be the top-listed Government Service in Singida?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address

Singida