Halmashauri ya Mji Tarime

Website

Halmashauri ya Mji Tarime Ukurasa maalumu wa Halmashauri ya mji Tarime mkoani Mara, Tanzania.

07/10/2026

Maelekezo ya Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. Meja Edward Flowin Gowele kwa wafanyabiashara wa Stendi kuu ya mabasi Halmashauri ya Mji Tarime

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ

Katibu Tawala wa wilaya ya Tarime Mwl. Saul Mwaisenye amepokea madawati 40 toka benki ya CRDB CRDB Bank Plc na kuyakabid...
02/10/2026

Katibu Tawala wa wilaya ya Tarime Mwl. Saul Mwaisenye amepokea madawati 40 toka benki ya CRDB CRDB Bank Plc na kuyakabidhi kwa shule ya Msingi Mapinduzi iliyopo Halmashauri ya Mji Tarime na kuwasisitiza walimu na wanafunzi kuendelea kutunza miundombinu mbalimbali ya shule hiyo

Akikabidhi madawati hayo Meneja wa Biashara CRDB kanda ya Ziwa Bi. Glory Mponzi amesema wataendelea kushirikiana na Serikali katika nyanja mbalimbali kwani hiyo ni sehemu ya kampenii yao ya kurudisha kwa jamii

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ

Hongera sana Mtekinelojia Msaidizi wa Maabara na Mdhibiti ubora Ndugu Alex Mashauri kwakuteuliwa kuwa mtumishi Hodari wa...
29/09/2026

Hongera sana Mtekinelojia Msaidizi wa Maabara na Mdhibiti ubora Ndugu Alex Mashauri kwakuteuliwa kuwa mtumishi Hodari wa Hospitali ya Halmashauri ya Mji Tarime kwa mwezi Agosti, 2026

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ

28/09/2026

Halmashauri ya Mji Tarime inatarajia kuanza kutoa Huduma ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya nne kwa watoto waliochini ya miaka 10 kuanzia Tarehe 29/09/2026 hadi 02/10/2026

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ

Endelea Kuchukua Tahadhari dhidi ya Mvua za Al nino πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ
24/09/2026

Endelea Kuchukua Tahadhari dhidi ya Mvua za Al nino

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ

Idara ya maendeleo ya Jamii Halamshauri ya Mji Tarime leo imezindua Mwezi wa maendeleo ya Jamii ambapo wataalamu kutoka ...
24/09/2026

Idara ya maendeleo ya Jamii Halamshauri ya Mji Tarime leo imezindua Mwezi wa maendeleo ya Jamii ambapo wataalamu kutoka idara hiyo watatembelea wananchi kwenye mitaa yote na kata zote kwa lengo la kutoa elimu kuhusiana na Fursa za kiuchumi, mikopo ya 10%, ushirikishwaji jamiii na utaratibu na usimamizi wa mashirika yasio ya Serikali

Uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Tarime ukibeba kauli mbiu ya "Familia imara, jamii imara na Taifa imara kwa kufika malengo Dira ya maendeleo 2025

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ

22/09/2026

Wafanyabiashara wa Soko kuu Halmashauri ya Mji Tarime wanaendelea kukumbushwa juu ya Kuhuisha mikataba ya upangaji wa vibanda na vizimba katika soko Hilo

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ

Endelea Kuchukua Taadhali dhidi ya Mvua za El nino  πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ
17/09/2026

Endelea Kuchukua Taadhali dhidi ya Mvua za El nino

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ

Halmashauri a Mji Tarime leo imeadhimisha Juma la Elimu ya watu wazima kwakufungua rasmi kituo cha elimu ya watu wazima ...
15/09/2026

Halmashauri a Mji Tarime leo imeadhimisha Juma la Elimu ya watu wazima kwakufungua rasmi kituo cha elimu ya watu wazima na kugawa vifaa vya Tsh. 1.4 katika Gereza la Wilaya ya Tarime

Maadhimisho hayo yamefanyika leo Katika viwanja vya Gereza la Tarime hatua inayolenga kupanua wigo wa fursa za elimu na stadi za maisha kwa wafungwa wa mahabusu waliopo katika Gereza hilo

Maadhimisho hayo yamebeba kauli mbiu "kisomo kwa manufaa ya watu wazima, dunia na ustawi wa jamii"

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ

Wananchi wanakumbushwa kuendelea kuchukua tahadhari na kuchukua dhidi ya mvua za El Nino zinazotarajia kunyesha Mwisho m...
11/09/2026

Wananchi wanakumbushwa kuendelea kuchukua tahadhari na kuchukua dhidi ya mvua za El Nino zinazotarajia kunyesha Mwisho mwa mwezi wa Septemba, 2026

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ

Address

45 P. O BOX
Tarime

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Halmashauri ya Mji Tarime posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share