Almadrasat Wakfiya

Almadrasat Wakfiya UKURASA RASMI WA ALMADRASAT WAKFIYA ISLAMIYA , KWAALINATU ZANZIBAR
ELIMU YA DINI YA KIISILAMU
1964

05/09/2026


Almadrasat Wakfiya tunakupongeza na Tunakutakia Kila Lenye Kheri katika Maisha yako mapya ya Ndoa. ujumbe wetu Kwako SUBRA iwe ndio Nguzo katika Ndoa yako na Allah awape Upendo na amasikizano mazuri

04/09/2026

KASIDA MAALUM KWA BWANA HARUSI UST MAHMOUD BAKAR

Tutakua Live Tiktok WAKFIYA
03/09/2026

Tutakua Live Tiktok WAKFIYA

Tunawakaribisha Wapenzi wa Twari Mtwal'aa Leo Katika Jamvi la Sherehe ya Harusi ya Ust. Mahmoud Bakari(Kidilu) hapa hapa...
03/09/2026

Tunawakaribisha Wapenzi wa Twari Mtwal'aa Leo Katika Jamvi la Sherehe ya Harusi ya Ust. Mahmoud Bakari(Kidilu) hapa hapa Madrasat Wakfiya Baada ya Sala ya Ishaa. Karibuni.

02/09/2026

Hizi ndio Madrasa zilizobahatika Kupata Mualiko kuja Kushereheka nasi Katika Jamvi la Sherehe ya Harusi

02/09/2026

﷽

🤍 MWALIKO WA HARUSI 🤍

“Na miongoni mwa ishara Zake ni kwamba Amewaumbia wake zenu kutoka miongoni mwenu ili mpate utulivu kwao.”
(Surat Ar-Rum: 21)

Kwa mapenzi na ridhaa ya Mwenyezi Mungu, tunayo furaha kukualika kushiriki katika sherehe ya harusi ya:

🤵 Mahmoud Bakar (Kidilu)

📅 Alhamisi | 03/09/2026
🕙 Saa 10:00
📍 Kukusanyika: Kwa Alinatu
➡️ Safari kuelekea: Fuoni kupitia njia ya Chunga

Uwepo wako ni dua, heshima na furaha kwetu. Karibu tusherekee pamoja.

Mwenyezi Mungu aibariki ndoa hii na awajaalie maisha yenye upendo, amani na baraka. Aamiin.

24/08/2026

Al-Ahzab (33:56)

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَـٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَـٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Hakika Mwenyezi Mungu humteremshia Mtume baraka zake, na malaika zake humwombea. Enyi waumini! Muombeni baraka za Mwenyezi Mungu, na msalimuni kwa salamu za amani zinazostahili.

゚viralシ

Address

Kwaalinatu
Zanzibar City

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Almadrasat Wakfiya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share