Public Procurement Appeals Authority - PPAA

Public Procurement Appeals Authority - PPAA

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Public Procurement Appeals Authority - PPAA, Government Organization, Mkandarasi Place, 58 Lusinde Road, 41104 Tambukareli, .

Public Procurement Appeals Authority – PPAA is an independent institution under the Ministry of Finance and Planning mandated to hear and determine appeals/complaints arising from public procurement processes with a view to check compliance with the law Vision - A dispute resolution organ that commands stakeholder’s confidence

Mission - To determine bidders disputes arising from public procurement process fairly and timely to ensure adherence to the governing Law.

14/05/2026

- Dodoma ,

Photos from Public Procurement Appeals Authority - PPAA's post 01/05/2026

Heri ya Mei Mosi #2026

Photos from Public Procurement Appeals Authority - PPAA's post 26/04/2026

Heri ya miaka 62 ya Muungano

09/04/2026

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), (Katikati Kulia), akiwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis M***a Omar (Mb), na viongozi wengine wakisikiliza maelezo kutoka kwa Katibu Mtendaji wa Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA), Bw. James Sando (kushoto), kuhusu majukumu na mchango wa PPAA katika Mnyororo wa Ugavi, wakati Mhe. Waziri Mkuu alipotembelea banda ya maonesho katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma, kabla ya kuzindua Sera Taifa ya Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi ya Mwaka 2025.

Photos from Public Procurement Appeals Authority - PPAA's post 07/04/2026

Day 2026

Photos from Public Procurement Appeals Authority - PPAA's post 05/04/2026

Heri ya Sikukuu ya Pasaka #2026

Photos from Public Procurement Appeals Authority - PPAA's post 03/04/2026

Ijumaa Kuu Njema

02/04/2026

Uzinduzi Rasmi wa Sera ya Taifa ya Mnyororo wa Ugavi ya Mwaka 2025. Aprili 2026, Jijini Dodoma

Photos from Public Procurement Appeals Authority - PPAA's post 21/03/2026

Heri ya Sikukuu ya Eid el Fitr

Photos from Public Procurement Appeals Authority - PPAA's post 11/03/2026

WAZABUNI RUVUMA, IRINGA NA NJOMBE WAJENGEWA UWEZO MATUMIZI YA MODULI YA RUFAA

Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imewakutanisha wazabuni na Taasisi Nunuzi wa mikoa ya Ruvuma, Iringa na Njombe na kuwajengea uwezo kuhusu Moduli ya kupokea na kushughulikia Malalamiko na rufaa kwenye mfumo wa NeST kwa lengo la kuimarisha utendaji kazi.

Mafunzo hayo yamefanyika kwa nyakati tofauti katika miji ya Songea na Iringa yamewahusisha washiriki 380 ambao ni wazabuni, wataalamu wa ununuzi, sheria, Tehama pamoja na makundi maalum yakiwemo wanawake, vijana, wazee na watu wenye mahitaji maalum pamoja na mafundi wa ndani.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo, Katibu Mtendaji wa PPAA, Bw. James Sando amesema mafunzo hayo yamekuwa yakitolewa na PPAA kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kwa lengo la kuwajengea uwezo wazabuni na Taasisi Nunuzi ili kuwapa ufanisi zaidi wakati wa utekelezaji wa majukumu yao, hususan katika kushughulikia malalamiko na migogoro itokanayo katika michakato ya ununuzi wa Umma.

Bw. Sando ameongeza kuwa, katika kutimiza azma ya Serikali mafunzo yamewashirikisha vijana, wanawake na makundi maalum katika ununuzi wa umma ili kuwawezesha kupata elimu kuhusu ununuzi wa Umma hususan katika michakato ya ununuzi na kuhakikisha kuwa wanaisaidia Serikali kupata thamani halisi ya fedha katika miradi ya kimkakati yenye tija kwa Taifa.

Pamoja na mambo mengine, Bw. Sando amewasihi washiriki kutumia mafunzo hayo kujifunza namna moduli ya kuwasilisha malalamiko na rufaa inavyofanya kazi katika Mfumo wa NeST kwani inatoa njia rahisi, ya haraka na yenye uwazi kwa wadau wote kushiriki katika mchakato wa ushughulikiaji wa malalamiko yanayotokana na michakato ya zabuni za umma.

Kwa upande wake Meneja wa Usimamizi wa Rufaa na Sheria (PPAA), Bi. Florida Mapunda amesema kuwa mafunzo hayo yamelenga kutoa elimu kwa wadau wa ununuzi wa Umma kuhusu taratibu za uwasilishaji na ushughulikiaji wa malalamiko na rufaa katika mfumo wa NeST.

11/03/2026

08/04/2026

Want your business to be the top-listed Government Service?

Telephone

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 16:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 16:00
Friday 08:00 - 16:00