22/10/2026
WATUMISHI WAPEWA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA UTENDAJI KAZI.
Mkurugenzi msaidizi Ndg. Priscus Tairo jana Oktoba 21, 2026 ameongoza Tumu ya Wataalamu kutoka Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora kutoa mafunzo ya mfumo wa kieletroniki wa Usimamizi wa utendaji kazi kwa Watumishi.
Aidha, Watumishi wametakiwa kuzingatia mafunzo hayo kwa lengo kuimarisha uwajibikaji na kuongeza ufanisi ili kuboresha utoaji wa huduma kwa Wananchi.