Joseph M Kahungwa

  • Home
  • Joseph M Kahungwa

Joseph M Kahungwa Joseph M Kahungwa

Nawatakia sherehe njema yenye fanaka
25/12/2014

Nawatakia sherehe njema yenye fanaka

07/12/2014

Mjumbe mkutao mkuuwa Taifa wa CCM na kamati ya siasa Joseph Joseph M Kahungwa akinadi sera za CCM katika Uzinduzi wa kampeni za serikali za mtaa zilizofanyika kata ya Mbungani.. Wapinzani wahaa na kurudi CCM na wananchi waahidi kuichagua CCM... CCM Oyeeeeeeeeeeeeeee

Namshukuru Mungu kwa  Kanisa langu la AICT Dayosisi ya Geita kwa Kushirikiana na Shirika la Vine Trust la Scotland inchi...
24/09/2014

Namshukuru Mungu kwa Kanisa langu la AICT Dayosisi ya Geita kwa Kushirikiana na Shirika la Vine Trust la Scotland inchini Uingereza kuniamini na kuwa miongoni mwa wanakati wa uzinduzi wa Mradi wa Kutoa huduma za Kimatibabu katika Visiwa mbalimbali ndani ya Ziwa Vikitoria kupitia Meli Mv Jubilee

Mradi huo ambao
unajulikana kwa jina la The Jubilee Hope Medical & Dental Programme umelenga kutoa huduma za Afya katika Visiwa vya Ziwa Victoria vinavyopatikana katika Mikoa Mitatu ya Kanda ya Ziwa ambayo ni Geita, Kagera na Mwanza.
Meli hiyo imepewa jina la MV. Jubilee Hope na inatarajiwa kuwasili katika Bandari ya Mwanza Kaskazini Kati ya Septemba 22 na 23 mwaka huu ambayo itakuwa ni Ijumaa ya wiki hii ikitokea Kisumu nchini Kenya, huku ikitarajiwa kuzinduliwa rasmi Septemba 27 mwaka huu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete katika Bandari hiyo ya Mwanza Kaskazini.

Hadi kukamilika kwa Mradi huo, zaidi ya Shilingi Bilioni Mbili zinatarijiwa kutumika huku uendeshaji wake kwa Mwaka ukikadiriwa kufikia Shilingi Milioni Mia Tano kwa Mwaka ambapo mafanikio ya Mradi huo yanatarajiwa kukamilika kwa ushirikiano wa karibu kabisa miongoni mwa Kanisa hilo la AICT Dayosisi ya Geita na Shirika la Vine Trust la Scotland inchini Uingereza ambalo limekuwa likifadhiri Miradi tofauti tofauti katika nchi mbalimbali duniani
Meli hiyo kuwa itakuwa na vyumba vitatu kwa ajili ya Madaktari kuwahudumia wagonjwa, Vifaa mbalimbali vya tiba, duka la Madawa baridi, Maabara kwa ajili ya Vipimo pamoja na eneo lenye uwezo wa kubeba watu kati ya 30 na 50 kwa ajili ya wagonjwa kusubiria kuonana na daktari.

Nilipokuwa nikchangia kwenye kongamano la uwekezaji lililofanyika Mkoani Mwanza Malaika hotel
24/09/2014

Nilipokuwa nikchangia kwenye kongamano la uwekezaji lililofanyika Mkoani Mwanza Malaika hotel

Nikiwa kwenye mahafari ya wanafunzi wa SAUT wa Chama cha Mapinduzi na mgeni rasmi akiwa Mhe Nape Nahuye katibu wa Itikad...
09/06/2014

Nikiwa kwenye mahafari ya wanafunzi wa SAUT wa Chama cha Mapinduzi na mgeni rasmi akiwa Mhe Nape Nahuye katibu wa Itikadi na uenezi CCM Taifa

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Joseph M Kahungwa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your organization to be the top-listed government service?

Share