11/01/2024
*📍KUMBUKA KWAMBA 🫵*
_Ukanda, Udini, na Ukabila, pia Makundi Ni Mwiko (hayaruhusiwi) Ndani ya Chama_
👇👇👇👇👇👇👇
_*"Ni Mwiko kwa Kiongozi wa CCM Kutumia Dini yake, Kabila au Rangi au Jinsia au Eneo analotoka, k**a Sifa ya kushawishi wapiga kura wamchague ama yeye Mwenyewe ama mgombea anayemuunga mkono. Kadhalika ni Mwiko kwa Kiongozi kujenga au kudumisha makundi yenye sura hiyo yanayovuruga Umoja na Mshik**ano ndani ya Chama"*_
_*NB:-* Chama cha Mapinduzi kinapiga vita Kuendeleza Udini, Ukabila, Makundi ndani ya chama maana yanahatarisha uhai wa chama._
_*📍Je, wale Wapambe wako wanakusaidia kukuunganisha kwenye chama ama na wanachama?,* Chama kinapiga Marufuku Kiongozi yeyote Kuendekeza Makundi Badala ya Kuwahudumia watu wote na kuimarisha uhai wa chama._
*🫵TAFAKARI CHUKUA HATUA🚶♂️🚶♂️*
```"KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI"```
*📍📖KANUNI ZA UONGOZI NA MADILI-2017, UK-21-22(8(V)🫵.*
📝Imeandaliwa na kutumwa na;
Comrade Ngeleja
*11 Jan. 2024, AM*
+255654588513.