Mwendelezo wa ujenzi wa Makao Makuu ya COMIBU: Shughuli ya uwekaji zege ghorofa ya pili imekamilika kwa mafanikio makubwa siku ya jumamosi tarehe 23/05/2026 (6 Dhoul-Hijjah 1447). Hatua kubwa kuelekea ofisi bora za viongozi na miundombinu ya jamii. 🏢🇧🇮
Al Amnu Tv
Al Amnu Tv
IBADA YAKO, HESHIMA YETU!
Unatafuta Ng'ombe, Mbuzi, au Kondoo mnono kwa ajili ya Eid au sherehe ya familia? Aymana Group Global tunakuondolea usumbufu wote kwa ofa zetu za kifalme:
🚗 Usafiri wa bure kwenda zizini kujichagulia.
🏠 Hifadhi bure ya mnyama wako hadi siku ya tukio.
🛵 Delivery ya uhakika popote Bujumbura.
🔪 Huduma ya kuchinja kitaalamu na kwa usafi.
Kwetu mteja ni mfalme; tunakuuzia ubora, uwazi na uaminifu! 💎
📞 Simu: +257 62 18 88 05
💬 WhatsApp: +257 65 99 73 57
📍 Buyenzi, Ave de la Sante, Jengo No. 7. Ghorofa ya kwanza ofisi Nº3
PARIS INAKWENDA KUNG’ARA!
Je, umechoka na mshindo wa jiji na unahitaji utulivu wa nafsi? Huu hapa ndio mwaliko wako wa kipekee! Ungana nasi katika Kongamano Kuu la Kiroho litakalofanyika katikati ya jiji la Paris.
Safari hii si ya kawaida tunajifunza siri ya mafanikio kupitia Tabia za Mtume ﷺ.
Ni wakati wa kuisafisha mioyo na kuipa nuru ya imani.
Mgeni Rasmi: Sheikh Aboubacar Misigaro (Kutoka Burundi 🇧🇮)
🎙 Wazungumzaji: Sh. Abdul Hamid, Dr. Nasser, na Sh. Ahmad Kassa.
📅 Jumamosi, 09 Mei 2026
📍 Kwenye ukumbi wa Royal Palace, 29 Blvd du Maréchal Leclerc, 94340.
"Kukaa karibu na muuza manukato, hakukosi kunusa harufu nzuri." Usikose fursa hii ya kunusa manukato ya elimu! 🌹
Aymana Group Kudumu na Ubora Ndio Siri Yetu.
Tumejianda Vyema Kukuhudumiyeni Nyiye Wateja Wetu.
Wasiliana nasi Kwa namba Zifwatazo.
Whst number : +257 65 99 73 57
Call number : +257 62 18 88 05
📍Ofisi zetu
Buyenzi, Avenue de la sante
Numero 7
1ere étage numero 3 Mukaza-Bujumbura / Burundi
SIKILIZA MACHACHE ALIYO ZUNGUMZA MSHINDI WA KWANZA KATIKA MASHINDANO YA QURAN TUKUFU BURUNDI MSIMU 6
HATIMAYE WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO WASHINDI WA TANO WA MWANZO KATIKA MASHINDANO YA QUR’AN BURUNDI
11/04/2026
HAWA NDIO WASHINDI WA TANA WA MWANZO KATIKA FAINALI YA MASHINDANO MAKUBWA YA KUHIFADHI QUR’AN TUKUFU 🇧🇮
MSIMU WA 6 – 2026
YANAYOANDALIWA NA ASSOCIATION UN.I.S "FRÈRES ET SŒURS "
YALIYOFANYIKA:
🗓 Jumamosi, 11/04/2026
🕖 Saa 1 kamili asubuhi (07h00 du matin)
📍 Uwanja wa Laïdi COMIBU – Nyakabiga
Qur’an: Ufunguo wa kuinuliwa daraja za juu Peponi
✨ Karibuni wote kushuhudia tukio hili kubwa la Qur’an Tukufu!
11/04/2026
SHANGWE LATANDA KWA AISHA ABDUL KUTOKA AL HIKMA CIBITOKE KWA USOMAJI WAKE MZURI KATIKA MASHINDANO YA QUR’AN
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Buyenzi
Bujumbura
