Tanzania High Commission - New Delhi, India

Tanzania High Commission - New Delhi, India

Share

General knowledge and awareness about Tanzania. EP-15C, Chanakyapuri, New Delhi-110021, India
www.tanzrepdelhi.com | +91-11-24122864 | [email protected]

The High Commissioner of the United Republic of Tanzania in New Delhi is also accredited to the Republic of Bangladesh, the Kingdom of Nepal, the Republic of Singapore and the Republic of Sri Lanka.

Photos from Tanzania High Commission - New Delhi, India's post 12/02/2023

Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Anisa Mbega (wa kwanza kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa Ubalozi wa Tanzania, New Delhi pamoja na familia zao katika Banda la Tanzania katika hafla ya Maonesho ya Miaka 60 ya ya British School, New Delhi ambapo Ubalozi ulituma fursa ya maonesho hayo adhimu kutangaza vivutio vya utalii, utamaduni pamoja na vyakula vya Tanzania.

12/02/2023

Tarehe 12 Februari 2023, Watumishi wa Ubalozi wa Tanzania, New Delhi pamoja na familia zao walishiriki katika hafla ya Miaka 60 ya Shule ya British New Delhi ambapo walitumia fursa hiyo adhimu kutangaza, vivutio vya utalii, utamaduni pamoja na vyakula vya Tanzania. Nchi mbalimbali zilishiriki katika hafla hiyo.

Washiriki wakimiminika katika Banda la Tanzania kununua chakula cha Tanzania.

12/02/2023
12/02/2023

Watoto wa familia ya Watumishi wa Ubalozi wa Tanzania New Delhi wakiitangaza Tanzania na vivutio vyake ya utalii na utamaduni katika hafla ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Shule ya British New Delhi.

Photos from Tanzania High Commission - New Delhi, India's post 22/10/2022

βœ…We are very proud of πŸ‡ΉπŸ‡Ώ U17 team, the

, who qualified and played quarter-finals for the first time in Tanzania's football history.

You have made the nation proud.

Congratulations our girls! πŸ‘πŸ‘πŸ”₯πŸ”₯πŸ’ͺπŸ’ͺ



22/10/2022

βœ…Daspora wa Tanzania nchini India na mashabiki wa πŸ‡ΉπŸ‡Ώwakiwa na Mhe. walipokuwa wakijiandaa kwenda kuishangilia

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ katika mechi yake ya robo fainali na Colombia πŸ‡¨πŸ‡΄ ambayo inaendelea mjini Goa.


I

Photos from Tanzania High Commission - New Delhi, India's post 22/10/2022

βœ… Serengeti Girls πŸ‡ΉπŸ‡Ώ wakiwa kwenye mazoezi wakijiandaa na mchezo wao wa robo Fainali na Columbia ambao unatarajia kuchezwa leo Goa.

Kila la heri Serengeti Girls Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ’ͺπŸ‘πŸ”₯πŸ”₯

I

Photos from Tanzania High Commission - New Delhi, India's post 18/10/2022

βœ…Hongereni sana πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kwa kuingia robo fainali

Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ is the first African team to reach knockouts of World Cup πŸ’ͺπŸ‘πŸ”₯πŸ”₯

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ1⃣ - πŸ‡¨πŸ‡¦1⃣

I

18/10/2022

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Tanzania and Canada in a decisive encounter tonight πŸ”₯

Serengeti Girls you have our full support πŸ‘Š

| |

15/10/2022

βœ…Job done in Goa

Hogereni sana kwa ushindi πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ2⃣ - πŸ‡«πŸ‡·1⃣

Want your business to be the top-listed Government Service in New Delhi?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


EP-15C, Chanakyapuri
New Delhi
110021

Opening Hours

Monday 9am - 4pm
Tuesday 9am - 4pm
Wednesday 9am - 4pm
Thursday 9am - 4pm
Friday 9am - 4pm