HON WESWA

HON WESWA

Share

ONLY ONE

29/12/2025

🌿 AN TÂM AN CƯ – TRỌN VẸN TỪNG NGÀY
Một đô thị đáng sống không chỉ được đo bằng tiện ích hay quy mô, mà bằng khả năng chăm sóc con người một cách bền bỉ theo thời gian. Tại Ocean City, sự an tâm được kiến tạo như một giá trị cốt lõi, bắt đầu từ việc đưa y tế chất lượng cao trở thành một phần của hệ sinh thái sống – để mỗi gia đình có thể an cư vững vàng hôm nay và yên tâm cho nhiều thế hệ mai sau.
💫 Vinmec – Hệ sinh thái y tế cho gia đình đa thế hệ
Vinmec Medical Resort hiện diện ngay trong lòng Ocean City, giúp cư dân tiếp cận dịch vụ y tế hiện đại một cách nhanh chóng và thuận tiện. Không chỉ là nơi điều trị, Vinmec được định vị như một hệ sinh thái chăm sóc sức khỏe toàn diện, đồng hành cùng cư dân từ phòng ngừa, theo dõi sức khỏe định kỳ đến điều trị chuyên sâu.
💫 Chăm sóc trọn vòng đời – nền tảng an cư dài hạn
Với quy mô 13 chuyên khoa, 50 phòng khám và 130 giường nội trú dự kiến vận hành từ năm 2026, Vinmec đáp ứng đầy đủ nhu cầu y tế của mọi thế hệ trong gia đình – từ trẻ nhỏ, người trưởng thành đến người cao tuổi – ngay trong không gian sống khép kín, an toàn và chủ động.
💫 Chuẩn an dưỡng cao cấp giữa lòng đô thị
Được phát triển trên diện tích hơn 3.000m², Vinmec Medical Resort mang phong cách resort sang trọng, nổi bật với 18 villa tổng thống biệt lập dành riêng cho dịch vụ an dưỡng cao cấp, chăm sóc tăng cường và phục hồi chức năng kết hợp trị liệu. Đây là mô hình an dưỡng 5 sao đầu tiên tại Việt Nam, mang đến trải nghiệm chăm sóc sức khỏe riêng tư và chuẩn mực quốc tế – ngay trong khu đô thị nơi cư dân sinh sống mỗi ngày.
💎 Ocean City không chỉ kiến tạo chốn an cư, mà xây dựng một môi trường sống nơi sự an tâm được bảo chứng bằng hệ sinh thái y tế toàn diện, dịch vụ tận tâm và tầm nhìn dài hạn cho sức khỏe cộng đồng – nền tảng vững chắc cho hạnh phúc của gia đình đa thế hệ.

29/12/2025
Photos from HON WESWA's post 31/08/2025
30/07/2024

Yobu 14:7-9 Kuna tumaini kwa mti uliokatwa kuchipua tena, japo mizizi yake itazeeka udongoni na shina lake kufia ardhini, kwa harufu tu ya maji utachipua, utatoa matawi k**a chipukizi, Halleluya! Neno linatupa matumaini sana siku ya leo, ati there's hope for a tree, if it is cut off, it will sprout again. Hebu nikwambie....huenda leo hii umekatwa, biashara yako imekatwa, kazi yako imekatwa, afya yako imekatwa...kuna baraka ya kuchipua tena, kuna baraka ya kumea tena,. baraka ya kusimama tena, baraka ya urejesho. Usijali hata k**a leo uko chini, hautakaa hapo milele, utachipua tena. Simama tena leo, kung'uta mavumbi, tabasamu na ufurahie sababu UTACHIPUA TENA. Ubarikiwe sana na Tukutane Galilaya!

06/06/2024

HII NI KANUNI KUBWA KATIKA MAISHA,
🤔🤔🤔🤔

Kuna wakati katika Maisha unaweza kupitia mambo ambayo hukupanga Wala kuota kwamba utayapitia,😭😭
Lakini hata hapo usiache Kumwomba Mungu akuvushe upite salama.
Daudi anasema kupitia zaburi "Nijapopita katika bonde la uvuli wa Mauti sintaogopa mabaya maana Bwana yu pamoja nami,🙏🙏🙏🙏🙏

Upo Wakati katika Maisha unaweza ukajikuta unapita kwenye njia ngumu ambayo hukutarajia kibinadamu,
Lakini hata hapo usiache kumwomba Mungu anyooshe njia na mapito Yako,

Ayubu anasema "najua Bwana unaweza kufanya maombi yote,na kusudi lako halizuiliki"

Lakini pia Mithali inasema"Mkabidhi Bwana njia zako naye atayanyoosha mapito Yako".

✍️Upo wakati kwenye maisha unaweza ukapitia vita kubwa ambayo kibinadamu hujui utashindaje,
Lakini hata hapo usiache kumwomba Mungu
Maana imeandikwa"Vita si vyangu bali ni vya Bwana,
Na maadamu Mungu ni mtu wa vita basi uwe na uhakika utavuka salama.

✍️Hakuna Hali ya kudumu kwenye maisha ya mwanadamu,
K**a ni vita itapita tu....🏃🏃
K**a ni Hali ngumu itapita tu kikubwa mwamini Mungu.......
Na k**a ni jaribu litapata mlango wa kutokea
......🏃🏃🏃🏃🏃

Nasikia kukutamkia maombi ya kinabii wewe unayesoma ujumbe huu kwamba

✍️Ndani ya mwaka huu Mungu akakuinue Kwa viwango vya juu sana zaidi ya hata unavyoomba au unavyowaza(WAEFESO 3:20).

✍️Ndani ya Mwaka huu Mungu akakutambulishe,
Yaani akatambulishe huduma Yako,kipawa chako, biashara Yako,ndoto Yako,ndoa Yako,familia Yako na mahali penginepo.

✍️Akazifanye ndoto zako zitimie(Make your dreams true).
Yaani haijalishi ni ndoto ya uchumi wako,ndoto ya huduma Yako,Elimu,ndoa yako,uzao wako na mahali penginepo.

✍️Mungu akazibadili changamoto unazopitia kuwa daraja la Muujiza wako.

K**a unaamini katika ujumbe huu na unamwamini Mungu awezae kutenda mambo yote sema Amina kubwa.

03/06/2024

Anza Wiki & Siku kwa Tafakari ya Neno la Mungu aliye hai

Mithali 8:17
Nawapenda wale wanipendao, Na wale wanitafutao kwa bidii wataniona.

TAFAKARI
Mungu aliye hai anatupenda sana, anatuwazia mema siku zote. Lakini katika Neno hili anaeleza wazi kuwa anawapenda wale wanaompenda.

Je! tunampenda Mungu aliye hai? Kumpenda Mungu sio kwa maneno tu. Maana tunaweza kusema tunampenda kwa midomo yetu lakini Mioyo yetu ipo mbali nae kabisa kabisa.

Tunapaswa kumpenda Mungu aliye hai kwa mioyo yetu yote, kwa roho zetu zote, kwa nguvu zetu zote na kwa akili zetu zote.

Tukimpenda Mungu aliye hai hatutaangalia mazingira tuliyonayo, tutampenda katika mazingira yoyote yale, iwe ni mazingira ya furaha tutampenda BWANA, iwe ni ya huzuni tutamshukuru BWANA, iwe ni ya kukosa tutamuinua BWANA.

Tukimpenda Mungu aliye hai hatutachukuliana na maovu, wala dhambi haitatajwa kwetu maana tunamjua tunayempenda ni Mtakatifu mno anachukizwa na uovu. Hivyo tunayonguvu ya kushinda dhambi.

Tena tukimtafuta kwa bidii tutamuona, tutamuona akijihusisha na mambo yetu, atapigana vita tunavyokutana navyo. Mungu aliye hai anapatikana. Uamuzi ni wetu tu wa kuamua kumtafuta.

Mtafute kwa kutafakari Neno lake, mtafute kwa kusoma Neno, Mtafute kwa kusaidia wahitaji Yatima, wajane na wasiojiweza. Mtafute kwa maombi. Mtafute kwa kushiriki ibada hakika tutamuona Mungu aliye hai akijishughulisha na mambo yetu.

Nikutakie Tafakari, Wiki na Jumatatu njema Nakuombea ukawe na kiu ndani yako ya kumtafuta Mungu aliye hai, na wema wake ukuzunguke siku zote za maisha yako, aongoze hatua zako katika kila njia upitazo. asikuache wala asikupungukie, baraka zake zikamiminike mwezi huu mpya tuliouanza. Barikiwa sana mteule wa Kristo Yesu🙏🙏

Want your business to be the top-listed Government Service in Karen?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Karen