Jicho La 3 - Mombasa

Jicho La 3 - Mombasa

Share

Maendeleo Ya Viongozi Wa Mombasa.

23/01/2026

Msipokua' wajanja mtazalishwasana kudadadeki.

Photos from Jicho La 3 - Mombasa's post 07/05/2023

Vijana..wa' County ya mombasa; wanatoa'shukrani kubwasana..kwa Governor wao Abdulswamad sharff nassir; na ma M.C.A...z wao Pamoja na wabunge wao..wakidai'kua hatauhalifu mitaani umepungua..kwakiwango kikubwa zaidi..kwaio wanaomba kuongezwa mdazaidi iliwaweze, kupambana na maisha yao...

22/03/2023
Photos from Jicho La 3 - Mombasa's post 26/09/2022

Habari zenu wadau wetu wa Jicho La 3..?.. tumefanikiwa kupata pictures za MCA..wa miritini; Anaejulikana K**a KIBWANA SWALLEH BAYA.. baada ya'kuapishwa ijumaa iliopita na... jitazamie ww mwenyewe.. muheshimiwa huyu; anafuraha kubwa sana baada ya kurudi kwatamu ya3..

Photos from Jicho La 3 - Mombasa's post 29/08/2022

Kwenye fikrazako; unadhani ninani atakae'kua Governor hapo kesho Mungu akipenda?

Photos from Jicho La 3 - Mombasa's post 27/08/2022

Jicho La 3.. lime'nasa mkutano uliofanyika Jomvu sehemu ya Miritini primary school; naalie fanya mkutano huo,siemwengine bali ni M.CA wao; Hon KIBWANA SWALLEH BAYA..kaajili yakuwa'fungulia Hospital"hapo karibu yao kwa'ajili yakupata matibabu kwaurahisi.. naulifanyika 8-4-2022..

Photos from Jicho La 3 - Mombasa's post 27/08/2022

Jicho La 3.. lina'wakumbusha uchaguzi utakaofanyika 29-8-2022.. itakua sikuya'jumatatu; Tafadhali, tunaomba tudumishe Amani cz kura nisikumoja.. bt kumbuka maisha yata Endelea...👋.

26/08/2022

Jicho La 3.. limenasa mkutano uliofanyika hapa mjini mombasa; sehemu inayojiita Mvita. Akiwa ni Hon abdulswamad.. akijiombea kura ya u governor hapa mombasa je unadhani huenda akajivunia ushindi?

26/08/2022

Jicho La 3; limeshuhudia mkutano uliofanyika"huko" Mtwapanga sehemu ya Bamburi; ukiongozwa na Hon Mike mbuvi sonko. Kwaajili yakumpigia upato Hon Hassan Sarai; je? Kwajuhudi'zao hiziunazoziona unadhani huenda wakaebuka washindi?

Photos from Jicho La 3 - Mombasa's post 25/08/2022

Kulingana'nautafiti nikua; hawa ma Governor wawili unaowaona hapa mbele yako; ndio wanao semesha sana mjiwetu wa mombasa; yote'tisa kumi niii? Unadhani niyupi atakae ebuka kuawamshindi hapo jumatatu? Kazikwenu wadauuu👋😂..

Photos from Jicho La 3 - Mombasa's post 25/08/2022

Jicho La 3.. limenasa mkutano ulio fanyika FRERE TOWN.. mtaa wa Bombolulu ukiongozwa Na Hon MBOGO; kwaajili ya kumpigia upato Hon HASSN SARAI kwakua GORVENOR wa mombasa county.. 29th 8-2022..

Photos from Jicho La 3 - Mombasa's post 22/08/2022

Habari zilizotufikia hii Leo nikua; 29-8-2022 kutakua nauchaguzi. wa ma Governors wetu wa hapa Mombasa; please; Jicho La 3... linawaomba kudumisha amani kwakua; Amani ndio kilakitu kwenye maisha yetu... Asanteni sana na Mungu awa'Bariki.

Want your business to be the top-listed Government Service in Mombasa?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


47
Mombasa
72944