NYOTA YA JOMVU

Call Directions Contact the organization

NYOTA YA JOMVU JOMVU 1 ~ MOMBASA COUNTY 001

Former Mombasa Deputy Mayor

Former MCA Jomvu Kuu

Political Advisor to the president
(3)

Kwa Mama,dada na Ndugu zetu,Tulikuwa na mengi ya kushirikiana, mengi ya kuzungumza na mengi ya kupitia pamoja. Lakini Mu...
05/10/2026

Kwa Mama,dada na Ndugu zetu,

Tulikuwa na mengi ya kushirikiana, mengi ya kuzungumza na mengi ya kupitia pamoja. Lakini Mungu aliwapenda zaidi na amewaita nyumbani. Kujitolea kwenu katika kazi ya Mungu, upendo wenu na huduma yenu vitabaki milele mioyoni mwetu. Tunaamini kwamba Mungu atakumbuka na kulipa mema yote mliyoyatenda katika ufalme wake wa mbinguni.

Kwa familia zilizopoteza wapendwa wao, Kumpoteza mama au baba ni maumivu makubwa sana; ni k**a kupoteza sehemu kubwa ya maisha yako. Hakuna maneno yanayoweza kueleza kikamilifu uchungu wa kumpoteza mama.

Mimi pamoja na mke wangu Christine tuko pamoja nanyi katika kipindi hiki kigumu. Tunalia nanyi, tunaomboleza nanyi na tunawaombea nguvu na faraja kutoka kwa Mungu. Msijisikie mpo peke yenu katika safari hii ya majonzi; tuko pamoja nanyi.

Mungu awape nguvu, awafariji na awape amani mioyoni mwenu.
Mungu azilaze roho za wapendwa wetu mahali pema peponi.

-Nzai (AMERICA)

05/10/2026

Kuwasikiliza wananchi wa Jomvu na kuelewa changamoto wanazopitia kunanipa uelewa zaidi kuhusu sababu ya kuamua kujitolea kuwania nafasi ya Ubunge Jomvu.

Jomvu inahitaji kiongozi anayesikiliza, anaelewa na yuko tayari kutumikia wananchi. Niko tayari kusimama pamoja na watu wetu, kusikiliza sauti zao na kubeba changamoto zao kwa vitendo.

Jomvu inahitaji kiongozi na mtumishi wa wananchi.

04/10/2026
03/10/2026

Watu sio wajinga tena

Hili ni pigo kubwa sana kwetu, k**a jamii ya Jomvu. 🥲
03/10/2026

Hili ni pigo kubwa sana kwetu, k**a jamii ya Jomvu.
🥲

Nikiwa nchini Marekani, nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kuondokewa na maisha ya mahujaji 17 kutoka St. Mathi...
03/10/2026

Nikiwa nchini Marekani, nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kuondokewa na maisha ya mahujaji 17 kutoka St. Mathias Mulumba Catholic Church, Mikindani Parish, katika ajali ya Salama walipokuwa wakielekea Subukia kwa Siku ya Kitaifa ya Maombi.

Ingawa niko mbali, moyo na mawazo yangu yako pamoja na familia, ndugu, marafiki, waumini na jamii nzima ya Kikatoliki ya Mikindani katika kipindi hiki kigumu.

Natoa pole za dhati kwa wote walioathirika na msiba huu. Tunawaombea waliojeruhiwa wapone haraka, na tunamuomba Mwenyezi Mungu awape wafiwa nguvu, faraja na amani.

Mioyo ya marehemu ipumzike kwa amani ya milele.

Hon. Karisa Nzai Munyika

Wengi hawakuamini, hawaku tarajia k**a Rais William Ruto Angeyefanya haya yote Pwani. Rais pekeake toka ma Rais wote amb...
03/10/2026

Wengi hawakuamini, hawaku tarajia k**a Rais William Ruto Angeyefanya haya yote Pwani.

Rais pekeake toka ma Rais wote ambae Usiku na Mchana Anaifikiria pwani na kuiweka katika dira ya Maendeleo.

Tutam sio siasa ni jicho la maendeleo.
✌

Inawezekana.
30/09/2026

Inawezekana.

30/09/2026

🤚 Part 17

Address

Mombasa

Telephone

+254102568729

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NYOTA YA JOMVU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to NYOTA YA JOMVU:

Shortcuts

Share