28/07/2025
Tugutuke Revolution
Tugutuke! is a citizens’ revolution for political accountability in Kenya. www.tugutuke.co.ke
Tugutuke is an initiative run under the Chapter Four Programs and Projects which has a close correlation with Chapter Four of the African Charter on Human and Peoples' Rights on Democracy, Elections and Governance.
28/07/2025
Nani alisema? Sisi ndo kusema (Hii Kenya ni yetu)
Sauti ya wananchi ndiyo itaamua mustakabali wa nchi yetu.
Elections Are Not a Ritual! They are a chance to redefine our future. Don’t waste your vote in the coming elections!
!
24/06/2025
Tugutuke! Hii Kenya Ni Yetu!
Haki ni msingi wa taifa huru. Tuwekeze kwa sheria bora zitakazolinda kila Mkenya bila upendeleo. (Hii Kenya ni yetu!) Tujenge mfumo wa haki na usawa kwa wote, sasa ndiyo wakati
Elections Are Not a Ritual! They are a chance to redefine our future. Don’t waste your vote in the coming elections!
!
Kenya ni yetu, na sisi ndio wamiliki wake (Hii Kenya ni yetu) Hakuna mtu mwingine anayeweza kusema zaidi ya sisi, Kenya ni yetu.
Tunataka maendeleo ya kweli, tutasema (Hii Kenya ni yetu) Hatutavumilia tena kushuhudia maendeleo ya kijamii yakifanyika bila kututazama.
Haki ni yetu, tujiwekee sheria nzuri (Hii Kenya ni yetu) Sheria inazohakikisha haki na usawa kwa kila mmoja wetu lazima ziwepo.
Kenya ni yetu sote, na tutaifanya bora (Hii Kenya ni yetu)Tuko pamoja na tutabadilisha picha ya Kenya kwa manufaa ya kila mtu.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Nairobi
00100
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 18:00 |
| Tuesday | 09:00 - 18:00 |
| Wednesday | 09:00 - 18:00 |
| Thursday | 09:00 - 18:00 |
| Friday | 09:00 - 18:00 |
| Saturday | 09:00 - 15:00 |
