03/05/2026
Trilly Trillionaire Kesho ndani ya Chachawiza na Hakika Mapenzi
Ni mbaya 😎
The coastal market woke up in September 2008, to a new station from Royal Media Services. Bahari FM’s tag line is Nuru ya Roho’
The word “Bahari” is the Kiswahili term for ocean, giving the station an immediate identity to the coastal people.
03/05/2026
Trilly Trillionaire Kesho ndani ya Chachawiza na Hakika Mapenzi
Ni mbaya 😎
03/05/2026
Kesho Inshallah msemaji wa mijikenda Mheshimiwa Chirau Ali Mwakwere atazungumza ndani ya Twatulizaa
Usikose kufuatilia
03/05/2026
Gachagua amelaani serikali kwa kutoa ahadi za uongo na kusisitiza heshima kwa Uhuru Kenyatta
03/05/2026
Katika ujumbe wake wa Juma pili Muheria amesema ni jambo la kusikitisha kuona wanasiasa wakikabiliana kwa maneno ya kikabila na kuwataka kukoma.
03/05/2026
Ni mwendo wa kwenda mbele ukiwa naye Farida Ali.Hoiii!!!
03/05/2026
Mkutano huo pia unalenga kushughulikia malalamiko ya vijana na kuimarisha mshikamano wa chama.
03/05/2026
Rais amelitaka Bunge kuharakisha kupitisha Muswada wa Uchumi wa Ubunifu wa 2026 na kuimarisha sheria za hakimiliki.