Meru District Council

Meru District Council

Share

Meru DC
Ukurasa rasmi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru
www.merudc.go.tz

Halmashauri ya Wilaya ya Meru kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii Leo Tarehe 22 Mei , 2026 imetoa Mikopo ya Asilimia 10 ya Mapato ya ndani kwa vikundi vya wanawake , Vijana na walemavu yenye Thamani ya shilingi za Kitanzania Milioni Mia Sita Sabini na Tatu ( 673,000,000.00) kwa Robo ya Nne ya Mwaka wa Fedha 2025/2026.
‎
‎Kwa mara ya katika Ugawaji wa Mikopo katika Halmashauri ya wilaya ya Meru Vijana wamepata  Fedha nyingi kuliko Kundi lolote  Kiasi cha shilingi Milioni Mia Tatu Hamsini na Saba (357,000,000.00) huku wanawake wakipata shilingi Milioni Mia Mbili Themanini na Mbili (282,000,000.00) na watu wenye ulemavu Milioni Thelathini na Nne ( 34,000,000.00).
‎
‎katika hafla hiyo ya ugawaji mikopo mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe.Joshua Nassari amewataka wananchi kutumia mikopo hiyo k**a fursa ya kukuza uchumi huku Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mhe. Lucas Kaaya amesema Halmashauri ya wilaya ya Meru imeandaa mpango wa kuwawezesha vikundi viinavyopata mikopo kushinda zabuni mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri.
‎
‎Halmashauri ya wilaya ya Meru kwa Mwaka wa fedha wa 2025/26 imetoa jumla ya shilingi Bilioni Moja , Milioni Mia Tatu Kumi na Nane na Laki Nane ( 1,318,800,000.000) , huku Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Bi. Frola Msilu amesema Halmashauri itaendelea kuwawezesha wananchi wake kwa kutoa mikopo pamoja na elimu ya matumizi ya fedha.
‎
‎
‎ 22/05/2026

Halmashauri ya Wilaya ya Meru kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii Leo Tarehe 22 Mei , 2026 imetoa Mikopo ya Asilimia 10 ya Mapato ya ndani kwa vikundi vya wanawake , Vijana na walemavu yenye Thamani ya shilingi za Kitanzania Milioni Mia Sita Sabini na Tatu ( 673,000,000.00) kwa Robo ya Nne ya Mwaka wa Fedha 2025/2026.

‎Kwa mara ya katika Ugawaji wa Mikopo katika Halmashauri ya wilaya ya Meru Vijana wamepata Fedha nyingi kuliko Kundi lolote Kiasi cha shilingi Milioni Mia Tatu Hamsini na Saba (357,000,000.00) huku wanawake wakipata shilingi Milioni Mia Mbili Themanini na Mbili (282,000,000.00) na watu wenye ulemavu Milioni Thelathini na Nne ( 34,000,000.00).

‎katika hafla hiyo ya ugawaji mikopo mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe.Joshua Nassari amewataka wananchi kutumia mikopo hiyo k**a fursa ya kukuza uchumi huku Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mhe. Lucas Kaaya amesema Halmashauri ya wilaya ya Meru imeandaa mpango wa kuwawezesha vikundi viinavyopata mikopo kushinda zabuni mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri.

‎Halmashauri ya wilaya ya Meru kwa Mwaka wa fedha wa 2025/26 imetoa jumla ya shilingi Bilioni Moja , Milioni Mia Tatu Kumi na Nane na Laki Nane ( 1,318,800,000.000) , huku Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Bi. Frola Msilu amesema Halmashauri itaendelea kuwawezesha wananchi wake kwa kutoa mikopo pamoja na elimu ya matumizi ya fedha.


https://www.instagram.com/reel/DYpXEpbM_7J/?igsh=MXR5cWs4bm11eHpvYQ==

Halmashauri ya Wilaya ya Meru kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii Leo Tarehe 22 Mei , 2026 imetoa Mikopo ya Asilimia 10 ya Mapato ya ndani kwa vikundi vya wanawake , Vijana na walemavu yenye Thamani ya shilingi za Kitanzania Milioni Mia Sita Sabini na Tatu ( 673,000,000.00) kwa Robo ya Nne ya Mwaka wa Fedha 2025/2026. ‎ ‎Kwa mara ya katika Ugawaji wa Mikopo katika Halmashauri ya wilaya ya Meru Vijana wamepata  Fedha nyingi kuliko Kundi lolote  Kiasi cha shilingi Milioni Mia Tatu Hamsini na Saba (357,000,000.00) huku wanawake wakipata shilingi Milioni Mia Mbili Themanini na Mbili (282,000,000.00) na watu wenye ulemavu Milioni Thelathini na Nne ( 34,000,000.00). ‎ ‎katika hafla hiyo ya ugawaji mikopo mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe.Joshua Nassari amewataka wananchi kutumia mikopo hiyo k**a fursa ya kukuza uchumi huku Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mhe. Lucas Kaaya amesema Halmashauri ya wilaya ya Meru imeandaa mpango wa kuwawezesha vikundi viinavyopata mikopo kushinda zabuni mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri. ‎ ‎Halmashauri ya wilaya ya Meru kwa Mwaka wa fedha wa 2025/26 imetoa jumla ya shilingi Bilioni Moja , Milioni Mia Tatu Kumi na Nane na Laki Nane ( 1,318,800,000.000) , huku Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Bi. Frola Msilu amesema Halmashauri itaendelea kuwawezesha wananchi wake kwa kutoa mikopo pamoja na elimu ya matumizi ya fedha. ‎ ‎ ‎

KIKAO CHA TATHMINI YA LISHE WILAYA. 

Afisa Tawala Arumeru  Bi. Lilian Lyakurwa kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Mwinyi A. Mwinyi ametoa maelekezo kwa Watendaji wa Kata wote kuhakikisha wanatembelea shule zote za Serikali katika Kata zao kuona k**a chakula kinachotolewa kwa wanafunzi kinaandaliwa katika hali ya usafi na kwa kuzingatia muongozo wa Lishe. 

Ametoa maelekezo hayo katika kikao cha tathmini ya Lishe Wilaya cha kujadili taarifa za robo ya tatu kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2026 kilichofanyika Mei 22, 2026. 

Bi. Lilian amewataka Watendaji wa Kata za Ambureni, Makiba, Nkoanrua na Uwiro wahakikishe wanaweka mikakati ya kuhakikisha wanafunzi wanakula chakula  shuleni ikiwa ni pamoja na kuzitumia k**ati za chakula za shule na vikao vya WDC kutoa elimu ya Lishe kwa jamii ili kutambua umuhimu wa wanafunzi kupata chakula shuleni. 

Akiwasilisha taarifa ya tathmini ya Lishe, Afisa Lishe Wilaya Bi. Asia Ijumaa ameeleza kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Meru imeidhinisha sh.  Milioni 17,165,750.00 ambazo zimetumika kutekeleza afua za lishe ikiwa ni pamoja na kuandaa miongozo 17 ya chakula na ulaji, ambapo utengaji wa fedha hizo ni utekelezaji wa kutoa sh.1000( elfu moja) kwa kila mtoto aliye na umri chini ya miaka mitano. 

Pia, Bi. Asia Ijumaa amesisitiza kutoa elimu ya lishe kwa makundi mbalimbali na kuzingatia kula kwa wakati na kula mlo kamili ili kujenga afya bora na kupunguza athari za magonjwa yatokanayo na lishe duni. 22/05/2026

https://www.instagram.com/p/DYpHNq-jJJ0/?img_index=4&igsh=MzdzaGRudXVyYmhi

KIKAO CHA TATHMINI YA LISHE WILAYA. Afisa Tawala Arumeru Bi. Lilian Lyakurwa kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Mwinyi A. Mwinyi ametoa maelekezo kwa Watendaji wa Kata wote kuhakikisha wanatembelea shule zote za Serikali katika Kata zao kuona k**a chakula kinachotolewa kwa wanafunzi kinaandaliwa katika hali ya usafi na kwa kuzingatia muongozo wa Lishe. Ametoa maelekezo hayo katika kikao cha tathmini ya Lishe Wilaya cha kujadili taarifa za robo ya tatu kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2026 kilichofanyika Mei 22, 2026. Bi. Lilian amewataka Watendaji wa Kata za Ambureni, Makiba, Nkoanrua na Uwiro wahakikishe wanaweka mikakati ya kuhakikisha wanafunzi wanakula chakula shuleni ikiwa ni pamoja na kuzitumia k**ati za chakula za shule na vikao vya WDC kutoa elimu ya Lishe kwa jamii ili kutambua umuhimu wa wanafunzi kupata chakula shuleni. Akiwasilisha taarifa ya tathmini ya Lishe, Afisa Lishe Wilaya Bi. Asia Ijumaa ameeleza kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Meru imeidhinisha sh. Milioni 17,165,750.00 ambazo zimetumika kutekeleza afua za lishe ikiwa ni pamoja na kuandaa miongozo 17 ya chakula na ulaji, ambapo utengaji wa fedha hizo ni utekelezaji wa kutoa sh.1000( elfu moja) kwa kila mtoto aliye na umri chini ya miaka mitano. Pia, Bi. Asia Ijumaa amesisitiza kutoa elimu ya lishe kwa makundi mbalimbali na kuzingatia kula kwa wakati na kula mlo kamili ili kujenga afya bora na kupunguza athari za magonjwa yatokanayo na lishe duni.

Mafunzo ya Utaratibu , Sheria, Kanuni na miongozo kwa Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO's) ngazi ya Wilaya yamaefanyika leo Tarehe 21 Mei 2026 kwa uratibu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii kutoka Halmashauri ya wilaya ya Meru pamoja na Baraza la Taifa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali ( NaCoNGO) wilaya ya Arumeru.
‎
‎Akimuwakilisha Mgeni rasmi , Mkuu wa Wilaya ya Arumeru , Bw. Degratius Msuha ambaye ni Afisa wa Tarafa ya Mbuguni katika hotuba yake amezitaka NGO'S kufuata Misingi na Sheria za Nchi ili Kufanya Kazi ya kusaidia Jamii, pia amezitaja NGO'S k**a mdau muhimu sana kwa Serikali katika kuleta Maendeleo na kutoa huduma za kijamii kwa wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Meru.
‎
‎kwa upande wake Msajili wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali kutoka Halmashauri ya wilaya ya Meru Bw. Japhet Kazeri amesema licha ya Halmashauri ya Wilaya ya Meru kusajili NGOs zaidi ya 260 chini ya 150 ndizo zinazofanya shughuli zao kikamilifu na ameziomba NGOs kubaki kwenye Mpango wa NGOs zote Kila Mwaka kutekeleza Mradi angalau mmoja
‎
‎Taasisi mbalimbali za Serikali zikiwemo , Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA) , Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ( NSSF) , Jeshi la Uhamiaji pamoja Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ziliweza kutoa mafunzo kwa washiriki huku wawakilishi kutoka NGOs Bw. Vincent Uhega ambaye ni Mwenyekiti wa NaCoNGO wilaya ya Arumeru amesema wamefurahi Kuna ushirikiano wanaopata kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Meru pia mafunzo haya yatawasaidia sana katika Utendaji Kazi wa kila siku.
‎ 21/05/2026

https://www.instagram.com/p/DYmyLORDMI5/?igsh=MXZwMGx2ZzhvOHZweQ==

Mafunzo ya Utaratibu , Sheria, Kanuni na miongozo kwa Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO's) ngazi ya Wilaya yamaefanyika leo Tarehe 21 Mei 2026 kwa uratibu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii kutoka Halmashauri ya wilaya ya Meru pamoja na Baraza la Taifa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali ( NaCoNGO) wilaya ya Arumeru. ‎ ‎Akimuwakilisha Mgeni rasmi , Mkuu wa Wilaya ya Arumeru , Bw. Degratius Msuha ambaye ni Afisa wa Tarafa ya Mbuguni katika hotuba yake amezitaka NGO'S kufuata Misingi na Sheria za Nchi ili Kufanya Kazi ya kusaidia Jamii, pia amezitaja NGO'S k**a mdau muhimu sana kwa Serikali katika kuleta Maendeleo na kutoa huduma za kijamii kwa wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Meru. ‎ ‎kwa upande wake Msajili wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali kutoka Halmashauri ya wilaya ya Meru Bw. Japhet Kazeri amesema licha ya Halmashauri ya Wilaya ya Meru kusajili NGOs zaidi ya 260 chini ya 150 ndizo zinazofanya shughuli zao kikamilifu na ameziomba NGOs kubaki kwenye Mpango wa NGOs zote Kila Mwaka kutekeleza Mradi angalau mmoja ‎ ‎Taasisi mbalimbali za Serikali zikiwemo , Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA) , Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ( NSSF) , Jeshi la Uhamiaji pamoja Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ziliweza kutoa mafunzo kwa washiriki huku wawakilishi kutoka NGOs Bw. Vincent Uhega ambaye ni Mwenyekiti wa NaCoNGO wilaya ya Arumeru amesema wamefurahi Kuna ushirikiano wanaopata kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Meru pia mafunzo haya yatawasaidia sana katika Utendaji Kazi wa kila siku. ‎

20/05/2026
Photos from Meru District Council's post 20/05/2026
Want your business to be the top-listed Government Service in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Arusha

Opening Hours

Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00