30/01/2024
Karatu DC
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Karatu DC, Public & Government Service, 190 Karatu, Arusha.
30/01/2024
09/11/2022
On Monday a group of 15 tourist from Belgium under team leader called Jan Verbeke held for a brief meeting at Karatu District Council while getting ready for cycling trip to lake Eyasi for cultural tourism excursions.
Aim is to promote Hardzabe ,Datoga and Iraqw cultural tourism, through the safari they will be able to learn new experiences and promote tourism in Karatu.
13/09/2022
Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Maafa umepitishwa Bungeni baada ya kujadiliwa na wabunge.
Akiwasilisha muswada huo Bungeni Jijini Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene alisema kupitishwa kwa muswada huo kutawezeshwa kutungwa
Mhe. Simbachawene alisema katika kipindi cha miaka saba ya utekelezaji wa sheria ya maafa sura ya 242 na kanuni zake za mwaka 2017 kumekuwa na mafanikio mbalimbali yakiwemo kuanzishwa kwa Kituo cha Operesheni na Mawasiliano ya Dharura chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa ajili ya kufuatilia mwenendo wa majanga na kuratibu dharura nchini.
Mhe. Simbachawene aliongeza kuwa mafanikio mengine ni Kuboresha utabiri wa hali ya hewa, Kuanzishwa kwa Baraza la Usimamizi wa Maafa Tanzania na Kutoa misaada ya kibinadamu kwa waathirika wa maafa na kufanya ufuatiliaji wa ugawaji wa misaada hiyo kwa waathirika.
“ Pia Ofisi ya Waziri Mkuu imefanikiwa kusimamia maghala sita ya kikanda ya kuhifadhi misaada ya kibinadamu, Kuanzishwa na kujengewa uwezo kwa Kamati za Usimamizi wa Maafa za ngazi ya Mkoa, Wilaya, Kata na Kijiji au Mtaa kupitia mafunzo, Kuelimisha, kuhamasisha na kuwawezesha wadau wa maafa kuhusu kuzuia, kujiandaa, kukabili maafa na kurejesha hali baada ya maafa kutokea kwa kutumia njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na matumizi ya vyombo vya habari,”alisema Mhe. Simbachawene.
Pia akizungumzia Sheria inayopendekezwa kutungwa alieleza kwamba inalenga kuweka mfumo wa kusimamia maafa kuanzia hatua za kuzuia na kupunguza madhara ya majanga, kujiandaa, kukabili na kurejesha hali endapo maafa yanatokea kwa kuzingatia sera, sheria na miongozo.
“Muswada unajikita katika kuimarisha uwajibikaji wa kila sekta na jamii pamoja na kuimarisha ushirikiano katika kutekeleza afua za usimamizi wa maafa katika ngazi zote ili kuimarisha ustahimilivu kwa maendeleo endelevu,”alieleza.
Katika hatua nyingine alifafanua kuwa Muswada ulioandaliwa umezingatia kuimarisha utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Menejimenti ya Maafa ya Mwaka 2004 ambayo ndiyo mwongozo wa msingi katika shughuli za usimamizi wa maafa nchini.
“Muswada unapendekeza kufutwa kwa Sheria ya Usimamizi wa Maafa, Sura ya 242 na kupendekeza itungwe
Shughuli ya kuweka jamvi inaendelea katika soko la mjini Karatu.
18/11/2019
Injinia Alexander Safar akifanya vipimo wakati wa uwekaji wa jamvi soko la mjin Karatu
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Website
Address
190 Karatu
Arusha
