Tanapa Updates

Directions Website

Tanapa Updates The Official Page for Tanzania National Parks (TANAPA) News and Updates.

PUBLIC NOTICE
08/10/2026

PUBLIC NOTICE

TAARIFA KWA UMMA - KUFUNGULIWA KWA NJIA YA LEMOSHO, LONDOROSI NA RONGAI - MLIMA KILIMANJARO
08/10/2026

TAARIFA KWA UMMA - KUFUNGULIWA KWA NJIA YA LEMOSHO, LONDOROSI NA RONGAI - MLIMA KILIMANJARO

TANAPA unveils 1.3 million Euros ultra modern visitors centre in SerengetiBy Edmund Salaho, SerengetiOctober 7, 2026Tanz...
07/10/2026

TANAPA unveils 1.3 million Euros ultra modern visitors centre in Serengeti

By Edmund Salaho, Serengeti
October 7, 2026

Tanzania National Parks (TANAPA) has formally inaugurated a €1.3 million state-of-the-art visitor centre in Serengeti National Park, giving tourists a new way to understand one of Africa’s most famous wildlife destinations beyond the traditional game drive.

The opening comes as Serengeti marks 75 years since it became Tanzania’s first national park and coincides with 65 years of conservation partnership between Tanzania National Parks (TANAPA) and the Frankfurt Zoological Society (FZS).

The centre was developed under the Serengeti Ecosystem Development and Conservation Project (SEDCP), financed by the German Government through KfW Development Bank and implemented by TANAPA with FZS.

TANAPA Conservation Commissioner Massana Gibril Mwishawa said about €1.3 million was spent on the reconstruction and expansion of the facility during the second phase of SEDCP.

The centre’s exhibitions explain the Serengeti’s wildlife, ecology, conservation history and cultural significance, while a dedicated migration walkway interprets the annual movement of wildebeest and other wildlife.

The three-acre site includes walking trails, rest areas, cultural spaces and guided and self-guided exhibitions. Solar power, rainwater harvesting and recycled materials form part of its sustainability features.

The centre also showcases work by Tanzanian artisans, including young people trained through the Snares for Shares initiative, which turns recovered illegal wildlife snare materials into art.

Serengeti has also served as a scientific living laboratory for more than seven decades of continuous research. TANAPA says the park’s black rhino population, reduced to only three known animals in the 1990s, has recovered to more than 50 following sustained protection and collaboration.

The project reflects a broader effort to ensure that the Serengeti remains not only a destination for visitors, but a living inheritance and a shared conservation responsibility.

The New Look of the Serengeti Visitor Centre📍 Serengeti National Park 📷 Edmund Salaho
07/10/2026

The New Look of the Serengeti Visitor Centre

📍 Serengeti National Park

📷 Edmund Salaho

Serengeti haijawahi kuishiwa maajabu! 🦁Haya si maajabu tu ni nyakati za kipekee ambazo kila mgeni hupata nafasi ya kuona...
07/10/2026

Serengeti haijawahi kuishiwa maajabu! 🦁
Haya si maajabu tu ni nyakati za kipekee ambazo kila mgeni hupata nafasi ya kuona na kuzihisi kwa namna yake. Kila safari Serengeti huja na simulizi yake.

Serengeti National Park where every moment becomes a memory.

Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Massana Mwishawa leo Oktoba 05, 2026 amefanya zia...
05/10/2026

Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Massana Mwishawa leo Oktoba 05, 2026 amefanya ziara ndani ya Hifadhi ya Taifa Serengeti kwa ajili ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa katika hifadhi hiyo na kujionea hatua mbalimbali za utekelezaji ambazo miradi hiyo imefikia ikiwa ni sehemu ya kuendelea kusimamia maendeleo na uboreshaji wa miundombinu ya uhifadhi na utalii ndani ya hifadhi.

Miradi iliyokaguliwa ni pamoja na mradi wa Uwanja wa Gofu wa Hifadhi ya Taifa Serengeti “Serengeti National Park Golf Course”, ambao umekamilika kwa kiwango kikubwa na unatarajiwa kuzinduliwa katikati ya mwezi Oktoba 2026; matengenezo ya Kituo cha Kuongozea Ndege katika Uwanja wa Ndege wa Seronera; Kituo cha Kutolea Taarifa kwa Wageni cha Serengeti (Serengeti Visitor Center) kilichojengwa chini ya ufadhili wa Serikali ya Ujerumani ambacho kinatarajiwa kuzinduliwa Oktoba 07, 2026; pamoja na Daraja la Viboko lililopo katika barabara ya Seronera - Naabi

Matengenezo ya miundombinu ya barabara na madaraja itasaidia kuboresha shughuli za uhifadhi na utalii sambamba na kupunguza athari katika msimu wa mvua El Niño. Ziara hiyo ilimuhusisha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi, Godwell Meng’ataki, ambaye ndiye Mkuu wa Kanda ya Magharibi, pamoja na Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi Ismail Ismail ambaye ndiye Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Serengeti.

05/10/2026
05/10/2026

WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA 2026

Ninyi ndio sababu ya sisi kufanya zaidi. Michango yenu, ushari, maoni na mapendekezo ndio msingi wa mafanikio yetu.
Asanteni kwa kuiamini TANAPA, kutembelea Hifadhi za Taifa na kuwa sehemu ya safari ya uhifadhi.

Bado Siku 3!
04/10/2026

Bado Siku 3!

TANAPA YAJIDHATITI KUIMARISHA MIUNDOMBINU KUKABILIANA NA EL NINÕ - SAANANENa. Philipo Paschal Hassan  - MwanzaKamishna w...
03/10/2026

TANAPA YAJIDHATITI KUIMARISHA MIUNDOMBINU KUKABILIANA NA EL NINÕ - SAANANE

Na. Philipo Paschal Hassan - Mwanza

Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Massana Mwishawa ameelekeza Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa Kisiwa cha Saanane kujiandaa kukabiliana na changamoto zinazoweza kujitokeza kutokana na mvua za El Niño ambapo ni pamoja na kufanya maboresho na ukarabati wa miundombinu muhimu ya hifadhi hiyo inayotumiwa na watalii.

Kamishana Mwishawa ameyasema hayo alipofanya kikao na Maafisa na Askari Uhifadhi wa Hifadhi ya Taifa Kisiwa cha Saanane Jijini Mwanza leo Oktoba 03, 2026 ambapo alitoa maelekezo ya kujiandaa kufanya ukarabati na maboresho ya miundombinu inayotumiwa na watalii ikiwemo kuongeza urefu wa ukingo wa uzio katika maeneo ya watalii kupanda boti kwenda katika Ksiwa cha Saanane, kufanya ukarabati wa boti pamoja na miundombinu mingine muhimu, ili kuimarisha uhimilivu wa hifadhi wakati wa mvua hizo.

Aidha, Kamishna Mwishawa pia amesisitiza kuongeza bidii katika kuhamasisha utalii wa ndani na kutangaza fursa mbalimbali zinazopatikana katika Kisiwa cha Saanane ili kutimiza lengo la Serikali la kuongeza idadi ya watalii na mapato yatokanayo na utalii.

Kwa upande wake, Afisa Uhifadhi Mkuu na Kaimu Mkuu wa Hifadhi, Upendo Massawe alielezea kuwa hifadhi inaendelea kusimamia kwa ufanisi shughuli za uhifadhi na utalii, ikiwemo kuimarisha ulinzi na usalama wa maliasili, shughuli za ikolojia na mahusiano kati ya hifadhi na jamii.

Hifadhi ya Taifa Kisiwa cha Saanane imeendelea kuvutia watalii wengi wa ndani kutokana na kuwa na mazao mbalimbali ya utalii ikiwemo utalii wa picha, utalii wa kutazama wanyama, utalii wa boti, uvuvi wa kitalii, kupiga kambi, utalii wa matembezi pamoja na kula wa chakula cha hifadhini (Bush lunch).

Address

Majengo
Arusha
23104

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanapa Updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share