06/05/2023
SEMINA YA WAWATA SEHEMU YA PILI BAADA YA MAPUMZIKO. Dekania ya Mbezi Luis Jimbo kuu la Dsm.
Kwa changamoto zozote za kiufundi tupigie kwa namba 0653761750
06/05/2023
SEMINA YA WAWATA SEHEMU YA PILI BAADA YA MAPUMZIKO. Dekania ya Mbezi Luis Jimbo kuu la Dsm.
30/04/2023
Je, umewahi kufikiri kuwa mitandao ya kijamii inaweza kuinua biashara yako?
21/11/2022
Habari ndugu mfugaji.....
Wenye uhitaji wa Sasso wenye wiki 6 na siku 2, wanapatikana kwa gharama nafuu. Idadi yao ni kuku 160 tu.
Mawasiliano 0653761750 au 0787879696
21/11/2022
Vifaranga wa Kuroila wanauzwa kwa bei ya Tsh 1600 tu. Kwa mahitaji pigs cm namba 0787879696
21/11/2022
Kaza moyo na upambane.
Habari yako.
Je wewe ni mjasiliamali au mfanyabiashara na unatamani kujifunza mbinu zitakazo kusaidia kuinua biashara yako?
K**a ni ndio comment hapo chini Ili tujue wangapi wanahitaji hili darasa.
21/11/2022
Kaza moyo
Je, wajua kuwa ufugaji umekuwa ndio kimbilio la watu wengi kwa sasa?